Ni kweli Samia na Kikwete wana akili sana maana kwa sasa tunaishi maisha mazuri!Jiwe alikuwa alikuwa na uwezo mdogo sana kiakili. Ili kuficha upumbavu wake alilazimika kujifaragua hadharani aonekane much know. Lkn kubwa zaidi alisumbuliwa na ushamba & ulimbukeni.
Watato wa mjini wakaona isiwe taabu. Wakamfyekelea mbali.
Matapeli ndivyo walivyo.Umesahau na zile hadaa za kwenda kanisani kisha kuchukuliwa na ma camera akijifanya bonge la mnyeyekuvu na mcha Mungu. Akageuza makanisani ni sehemu ya kutolea hotuba za kisiasa. Cha ajabu akawa anasema tusichanganye dini na siasa!
Na wewe ni walewale tuAlikwenda bandarini akawa anafoka na anajifanya anajua physics kumbe sisi wataalamu tunamchora tu
Na Kikwete mwambie arudishe pesa alizoficha kule Malaysia!Fisadi alikuwa jpm. Nenda china au nyumbani kwake uone mapesa yalivyofichwa
Kama alimzidi akili mbona hakumfukuza huo uraisi na akakaba?! Watu walivurugwa. Huyu inaoneka mlija wake ulivunjwaYawezekana wewe ndo hujui chochote harafu unaona wanaojua hawajui kwasababu wewe hujui
Wewe mpumbavu vijana wanasota mtaani,hizo ajira zipo wapi?kwani JPM hakutoa ajira kwenye miradi aliyoianzisha?Mbona Sasa hivi nimeipata kazi baada ya ajira kuwa nyingi sana serikalini na private sector. Tena Niko sekta nyeti serikalini. Sema jpm nchi ilimshinda tu na one day jeshi lingempindua tu. Heko mama kwa kuondoa kizuizi Cha eti kujiunga jeshi mpaka upite jkt. Jpm alisababisha maisha yakawa magumu sana na ajira ikawa hamna tena na mbaya zaidi eti vyeti feki. Lini Tanzania hapa kukawa na vyeti feki. Ukitumia akili utagundu hakukuwa na vyeti feki Bali waliofukuzwa kazini ni wapinzani na mahasimu I ake tu
Ukweli ndiyo huo lazima usemwe.Duuh
Hali ngumu tunayopitia ni matokeo ya maamuzi ya kishamba yaliyofanywa na jiwe. Na alifanya uharibifu mkubwa wa mifumo na mishipa ya kiuchumi kiasi kwamba itachukua miaka zaidi ya 15 kupata full recovery.Ni kweli Samia na Kikwete wana akili sana maana kwa sasa tunaishi maisha mazuri!
Wajinga tu ndiyo wanamuona alikuwa genius. Angekuwa genius angekuwa hai mpaka sasa, maana asinge u-fight mfumo uliomleta madarakani.Jiwe alikuwa alikuwa na uwezo mdogo sana kiakili. Ili kuficha upumbavu wake alilazimika kujifaragua hadharani aonekane much know. Lkn kubwa zaidi alisumbuliwa na ushamba & ulimbukeni.
Watato wa mjini wakaona isiwe taabu. Wakamfyekelea mbali.
97No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.
Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga kumtaja Magufuli katika namna ambayo isingempendeza. Media nchini ziliimba mapambio ya kumsifu na kumtukuza mawizo mpaka machweo.
Propaganda za Magufuli zinanikumbusha propaganda za Adolf Hilter, Joseph Stalin na Mao Ze Dong. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuaminisha mambo ambayo hayapo, walikuwa na uwezo wa kupandikiza nadharia zao na imani zao juu ya kadamnasi na ikaamini vivyo, huku nyuma ya pazia wakiwa na mauzauza yao kibao.
Magufuli alitupiga wapi? Kwanza alijifanya Rais wa wanyonge, akijua kwamba watanzania wengi over 40% tuko chini ya mstari wa umasikini wa $1 kwa siku, masikini wengi tulimpenda sana tukidhani ni mwenzetu lakini katu, hakuwa mwenzetu, JPM alikuwa tajiri sana.
Magufuli alijua kwamba watanzania hatupendi mafisadi, wengi tunadhani umasikini wetu kuna watu wanatuibia serikalini. JPM akaona atangaze nao vita kali, tukamsahau yeye ambaye alijilimbikizia mali nyingi sana, huku tukijua kwamba anapambana na mafisadi kwa ajili yetu, kumbe ni kwa ajili yake kwani kila alipotaifisha mali zao, zikawa zake na jamaa zake.
JPM master the art of public manipulation. Kwenye ziara zake alisimama barabarani, alizungumza na watu, akatoa fedha hadharani kwa watu wa hali ya chini, alitembelea hospitali na kutoa misaada hadharani kwa watu waliokuwa na hali ngumu huku kila media ikimulika. Vitendo vile vimewalevya wengi kudhani kwamba JPM was saviour, tukasahau kabisa na yeye ni mwanadamu mwenye tamaa na uchu, aliweza kufanya chochote pasi nasi kujua kuwa mali zetu zinaibwa na kuwekezwa kwenye hotels zake, real estate, mashamba na kuficha fedha nje ya nchi. Mtoto wa dada yake, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dotto James alifanya kazi kubwa sana kusafirisha fedha za mjomba wake nje.
Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo
Alizuia kujadiliwa akiwa hai, acha watu waendelee sasa.Kwenye title ungeongeza neno JPM ili tujue umeandika uzi kumjadili marehemu...
Huyo jamaa mleta uzi ni zaidi ya Kenge.Wewe ni aina ya watu Wanafiki, Waoga, Machawa na Maskini wa fikra. Ulikuwa wapi kuyasema hayo wakati JPM angali hai?
Acha kupambana na kivuli cha mfu, endelea kununua sukari 5000/=, badala mpambane na mfumuko wa Bei na kushuka thamani ya pesa yetu nyie mko bizze na JPM kenge nyie
Inaonekana una inferiority complex:Na pia inaonekana haupo sawa. Unaongea, vitu vya kitoto na vya, kipumbavu sana. Yote uliyoongea, hapo ni ya, kipumbavu na kijinga. Literally , unavyoongea inaonyesha wazi una vyeti fake na hauwez, kuajiliwa, sehemu nyeti mpumbavu kama ww.Mbona Sasa hivi nimeipata kazi baada ya ajira kuwa nyingi sana serikalini na private sector. Tena Niko sekta nyeti serikalini. Sema jpm nchi ilimshinda tu na one day jeshi lingempindua tu. Heko mama kwa kuondoa kizuizi Cha eti kujiunga jeshi mpaka upite jkt. Jpm alisababisha maisha yakawa magumu sana na ajira ikawa hamna tena na mbaya zaidi eti vyeti feki. Lini Tanzania hapa kukawa na vyeti feki. Ukitumia akili utagundu hakukuwa na vyeti feki Bali waliofukuzwa kazini ni wapinzani na mahasimu I ake tu