Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #161
Tabu alafu jina la baba SHIDA surname MATATIZO. 🤣🤣🤣😂😂😂Bongo mtu anamuita mtoto wake Tabu anategemea afanikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabu alafu jina la baba SHIDA surname MATATIZO. 🤣🤣🤣😂😂😂Bongo mtu anamuita mtoto wake Tabu anategemea afanikiwe
Hakuna ilo jina Kwa TzOngezea na Baal
Kuna mtoto anaitwa Israel[emoji1]
Mm siwezi kumwita mwanangu Osama.We unaweza kumuita mwanao Id amin?
Hilo ni Jina lenye baraka tele. Fanya chap kumpata kijana Me umpe hilo jina na hutojutia. 😀NIKIPATA MTOTO MWINGINE WA KIUME NITAMWITA ISRAELI 😃😃
Mwanzo 32:24-30
24. Yakobo alibaki peke yake. Mtu mmoja akaja, akapigana naye mwereka mpaka alfajiri.
25. Mtu huyo alipoona kwamba hawezi kumshinda Yakobo, alimgusa Yakobo nyonga ya kiuno, naye akateguka alipokuwa anapigana naye mwereka.
26. Kisha yule mtu akamwambia Yakobo, “Niache niende zangu, kwani kunapambazuka.” Lakini Yakobo akamwambia, “Sikuachi kamwe, mpaka umenibariki!”
27. Naye akamwuliza, “Jina lako nani?” Yeye akamjibu, “Yakobo.”
28. Yule mtu akamwambia, “HUTAITWA YAKOBO tena, bali ISRAELI, kwa kuwa umeshindana na Mungu na wanadamu, ukashinda.”
29. Ndipo Yakobo akamwambia, “Tafadhali, nakuomba uniambie jina lako.” Lakini yeye akamwambia, “Ya nini kuniuliza jina langu?” Kisha akambariki Yakobo.
30. Yakobo akapaita mahali hapo Penueli, akisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso, nami sikufa.”
Hilo ni Jina lenye baraka tele. Fanya chap kumpata kijana Me umpe hilo jina na hutojutia. 😀
Uko sahihi mkuu. Nimemkumbuka Herode Antipas. Pia Kaisar ni cheo e.g.Kaisar Augusto.Herode na pilato sio majina ni vyeo.....