fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
idi wapo wengiWe unaweza kumuita mwanao Id amin?
amin wapo wengi
idi amin ni majina mawili la mtoto na baba mtu sio rahisi kuitwa mtu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
idi wapo wengiWe unaweza kumuita mwanao Id amin?
Yes Shetani kabisa tena majina yalikuwa ya Wazazi wake na alihitimu Form Four kwa majina hayo hayo.Shetani kabisa?!
Nimecheka sana,Kuna dogo mmoja alikuwa anaitwà yuda
Nakuapia hakika yule dogo alikuwa na tabia za kuwasnitch wana balaa..
Kitu sio kitu kawasnitch yaani ata mkipewa assignment yy anawahi kupeka kwa lecture faster kuliko nyinyi ili tu muonekane wazembe na mmechelewa...
Majina kweli yanaumba..
Haahaa 😂😂🤣🤣 Kuna watu watakuja hapa watasema Chai......Umenikumbusha huko meru miaka fulani kuna Dogo nakumbuka alikuwa wanamuita Frimasoniii, Darasani unasikia "Frimasoni Elias Kibeda" "Nipo mwalimu"
Umbumbumbu. Enzi hizo Ali Kiba ndo anatamba kwenye music, kuna dada mmoja kijijini (RIP) kazaa mtoto wa kiume kampa jina Alikiba! Hakujua kuwa ni majina mawili yeye kaunga!Kuna siku niliona Insta kuna wazazi Baba na Mama wamevaa jezi za Yanga wamebeba mtoto wao mchanga huku wamepiga picha na Mayele halafu wakaandika mtoto anaitwa Fiston Mayele.
Ujue niliwashangaa eeh!
Kumbe Kunahayo ni majina mawili sio rahisi kuitwa yote kwa wakati mmoja,ila Yuda wapo wengi
Osama maana yake ni simba so you feel em nowKuna watoto waliozaliwa kipindi cha osama waliitwa Osama 😃 inachekesha kwakweli....
Sipendi kumpa mtoto majina ya ajabu
Bwana Ng'ombeNimesoma na mtu anaitwa ng'ombe pale kibiti 2012-2014, nilikua naskia vibaya kumwita ilo jina ivo nikawa namuita jina la ukoo
Inamaana haujawahi jua kwanini msanii Dayamondi anajiita bin laden akimanisha simba (osama)Osama maana yake ni simba so you feel em now
Osama bin laden...SIMBA BIN LADEN 😊😊Osama maana yake ni simba so you feel em now
Mbona mimi nishakutana na mtu anaitwa yudaHerode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........
Wasalaam
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Haaahaaa 🤣🤣🤣🤣Eti ni mwite mwanangu PILATO wee una kichaa nini ...! [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanasema YUDA yupo PEPONI 🤓Mbona mimi nishakutana na mtu anaitwa yuda
Mbona rahisi..zaa wako umpe majina ayo na washawishi na nduguzoNatamani kujua Kwa nini mtu hamwiti mtoto wake YUDA ISKARIOTE
Anaogopa akipata kazi atakua hamsaidiiNatamani kujua Kwa nini mtu hamwiti mtoto wake YUDA ISKARIOTE