Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #101
Kuna mmoja anaitwaNakumbukaga kuna mwaka niliendaga masasi vijijini uko kuna mwamba alikua anaitwa herode😁😁😁 anakunywa pombe kama maji sasa akishalewa anaanza kujisifia "mimi ndo mfae herooooode"
Nyoka
Huyo jamaa ni nyoka....