Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

Mkuu mm ni MWANAUME siwezi kuolewa....
Hapa tunajadili kwanini watu wengi hawapendi kuyatumia majina Fulani...😊
Asante Kwa mchango wako Chizi Maarifa
Daaaah..... Wewe ni mwanaume? Unapata wapi muda wa kukaa kufikiria jambo la kike kama hili? Ndo maana sasa hivi tunapata shida sana kugombana na mapapai. Haya bwana.
 
Daaaah..... Wewe ni mwanaume? Unapata wapi muda wa kukaa kufikiria jambo la kike kama hili? Ndo maana sasa hivi tunapata shida sana kugombana na mapapai. Haya bwana.
Akili zako kama jina lako
Yaan wew ni CHIZI ukoo wako au Baba ako maarifa
Chizi Maarifa😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom