Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

Mtaani kuna kina Yusuphu na Yakobo wengi ajabu 90% wote ni wezi... Tunasubiri wabadilike
Akina Queen asilimia kubwa Dishi limeyumba.

Jina unalompa mwanao litamshambulia hadi afanane nalo
 
Herode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........

Wasalaam
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hizo HERODE, PILATO na FARAO ni VYEO. Siyo majina ya watu. Ni sawa kusema unatuambia tuwaite watoto wetu RAIS au WAZIRI MKUU, JAJI, SPIKA n.k
 
Kuna watoto waliozaliwa kipindi cha osama waliitwa Osama 😃 inachekesha kwakweli....

Sipendi kumpa mtoto majina ya ajabu
Kuna siku niliona Insta kuna wazazi Baba na Mama wamevaa jezi za Yanga wamebeba mtoto wao mchanga huku wamepiga picha na Mayele halafu wakaandika mtoto anaitwa Fiston Mayele.

Ujue niliwashangaa eeh!
 
Kuna siku niliona Insta kuna wazazi Baba na Mama wamevaa jezi za Yanga wamebeba mtoto wao mchanga huku wamepiga picha na Mayele halafu wakaandika mtoto anaitwa Fiston Mayele.

Ujue niliwashangaa eeeh! Nikasema tukosage akili lakini iwe kwa kiasi. Sababu hadi ubini wa mtu mwingine. Lol.
Duu watakua wana PENDA sana yanga tena mume na MKE......ni balaa
 
Hizo HERODE, PILATO na FARAO ni VYEO. Siyo majina ya watu. Ni sawa kusema unatuambia tuwaite watoto wetu RAIS au WAZIRI MKUU, JAJI, SPIKA n.k
Sawa,
Ila Kuna watu wanaitwa
MEZA,
SITOSAHAU
TINGINYA
 
Natamani kujua Kwa nini mtu hamwiti mtoto wake YUDA ISKARIOTE
Kuna dogo mmoja alikuwa anaitwà yuda
Nakuapia hakika yule dogo alikuwa na tabia za kuwasnitch wana balaa..

Kitu sio kitu kawasnitch yaani ata mkipewa assignment yy anawahi kupeka kwa lecture faster kuliko nyinyi ili tu muonekane wazembe na mmechelewa...
Majina kweli yanaumba..
 
Back
Top Bottom