Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kumbe na wewe una IQ kubwaHumu nachukiwa sana hawanaga amani mpaka wanagroup lao lakuniteta , nje ya hapa nachukiwa sana sana .
WAnasema najiona sana najua sijui hili lile hata kazini nikamua kujiajiri sasa
Umemsahau "young genius"Diamond PlatnumzTuanze na mugabe, lucha,mwalimu julius nyerere,sweety candy,nelson mandela,jomo kenyatta,mwinyi wa zamani,mkapa ,huyu kijana wa sasa anavaa kijeshi,kagame,museven,nawapigania uhuru wote .
Pactrice Lumumba wa DR CongoAchana na hao Investors, maana kwa sasa hamna anaewapinga, tutajie na hao baadhi ya viongozi wenye IQ kubwa hapa Africa wanaopingwa tuwajue
Kwani IQ kubwa mpak uwe politicianPactrice Lumumba wa DR Congo
Thomas Sankara
Muammar Gaddafi Libya
Laurent Kabila wa Kongo
Ni kweli kabisa huwa wasema kweli Wana wapenda haki hupingwaWajinga wana confidence kubwa na ndio kundi kubwa la viongoz
Hapana lakini watu wengi wenye IQ kubwa huwa wana wito mkubwa wa kuongoza na kutatua changamoto za watuKwani IQ kubwa mpak uwe politician
Lakini kuna wengine kama hatuhitaji kuwa viongozi lkn IQ zetu ni balaaHapana lakini watu wengi wenye IQ kubwa huwa wana wito mkubwa wa kuongoza na kutatua changamoto za watu
Known broHivi unaelewa maana ya IQ kweli au umeijua leo?
130+ au -130Sisi wenye 130+ huwa hatubabaishwi na madongo.
πππMnasimamia misimamo yenu na kukamilisha mambo tuSisi wenye 130+ huwa hatubabaishwi na madongo.
HAna IQ HUYOO ila anaakili kubwa k8asi chake anajitambuaUmemsahau "young genius"Diamond Platnumz
No bob marley ,yule wa south afrika anayeimba reggae, steve wander,martin luther king,jamani michael jacksonKwani IQ kubwa mpak uwe politician
Kumbe kuna mtu hana IQ kabisa duuuuuh!!!HAna IQ
Ok wewe IQ yako kama ngapi hivi
Kila mtu ana IQ ila tunatofautiana Kuna watu ni gifted hata ufanye je humpiti yupo high level kimawazo na kila kitu related na akiliKumbe kuna mtu hana IQ kabisa duuuuuh!!!
πππ Watu ni wabishi kweli ila mwisho wa siku mwenye IQ kubwa hushindaHakuna mtu anapinga...
Bishana, uelewe...
Like meKila mtu ana IQ ila tunatofautiana Kuna watu ni gifted hata ufanye je humpiti yupo high level kimawazo na kila kitu related na akili
Dongo lingine hilo. Una jipya?130+ au -130