Kwanini watu huwa na tabia ya kuwapinga watu wenye IQ kubwa?

Huna lolote watu wenye High IQ hatupendi kujionyesha wala kujitaja
Umeishiwa ww sasa.
Huna iyo IQ . Mwenye IQ kubwa huwa anajua kujibu. Hebu soma ulichoandika huko juu kwanza uone kama hupendi kujionyesha.

Tafuta kazi masikini ww
 
Tuanze na mugabe, lucha,mwalimu julius nyerere,sweety candy,nelson mandela,jomo kenyatta,mwinyi wa zamani,mkapa ,huyu kijana wa sasa anavaa kijeshi,kagame,museven,nawapigania uhuru wote .
Hao uliowataja hamna mwenye IQ kubwa hata mmoja, ila ni waongeaji wazuri , kwa resources zilizopo kwenye nchi zao na nafasi walizonazo kama wangekua na IQ kubwa basi watu wangekua wanakula matunda yaliyopandwa na wao, enzi za nyerere ilikua ukinunua hata baiskeli unachunguzwa hakua na vision nzuri
 
Kwa mtazamo wako mdau ila si kwa mambo na rate ya IQ iliopo kwa hawa waungwana
 
Kagame na museven umeona,wakibinafsisha vitu vyao sisi hadi gesi tumewapa wazungu, hadi bandari waarabu wanayo ila hao hawataki
 
Napenda kutembea kwa miguu,napenda mziki na football,ninasoma siku za mitihani tu! na nnafaulu, hivi hapa kesho asubuhi nina mtihani na sisomi lkn ntaenda kuunyoosha kama pasi ya Phillips.
Na tabia nyinginezo nyingi za kigenius

Nenda kalime!!!
Kufaulu darasani sio kuwa na IQ kubwa fuatilia kufaulu ni jitihada binafsi, mbinu na kuwekeza muda kwenye kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…