hii tabia anayo sana ZARI. Hata message zangu huwa hajibu
anakataUkimpigia pia hapokei au?
Na mnapata wapi muda wa kuwaandikia mastaa sms, ili iweje?Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....
Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa hawaoni au ndo Dharau??
Ushawahi jiuliza na wewe??
au ndio hivyo inatakiwa uwe ukiwa staa?

Muda tunapata jioniNa mnapata wapi muda wa kuwaandikia mastaa sms, ili iweje?