Kwanini watu maarufu hawapendi kujibu comment za mashabiki zao

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,932
Reaction score
2,715
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....

Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa hawaoni au ndo Dharau??
Ushawahi jiuliza na wewe??
au ndio hivyo inatakiwa uwe ukiwa staa?
 
Basic answer ni watu wengi, lakini pia kwa upande wa notification unakuta kaweka kwa watu ambao anawafollow
 
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....

Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa hawaoni au ndo Dharau??
Ushawahi jiuliza na wewe??
au ndio hivyo inatakiwa uwe ukiwa staa?
Na mnapata wapi muda wa kuwaandikia mastaa sms, ili iweje?
 
Mi kweli hata @Lara1,naye kujibu ni utata.
 
Back
Top Bottom