Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Kwanini watu maarufu wengi wanapenda kuoa wanawake waliowazidi umri?

Ukimchukua lady jay d au madam Rita lazima uwe maarufu sana
 
Uyu jamaa nadhan kwenye uchaguzi wanwake wore walimpigia kura.

AISEE jamaa ni mwanamapinduzi kwelikweli[emoji4]
watu hawajui tu siri!! hawa wadada wakubwa safi sana wanajiheshimu halafu watunzaji wazuri wa fegha! siri bahati nk! halafu mwingine unaoa lkn anakupa mwanae mnae lingana uoe! yeye anakuwa yupo yupo tu!! km kuwa tunza!!...... lkn mambo unapata kuleee!!

Au kote kote kwani nini bana!! kina mama wa kikupenda basiiiiii!! heee uta enjoy sana!
 
Huyu kiazi sijui kama ataacha mtoto hapa duniani....
hapana weye ndo kiazi!! huyo!! tena Mama mwenyewe ndo ana mchagulia demu safi wa kuzaa nae!!! hata kujiburudisha tu akitaka!! mama yuko pale kinyota tu!! na ndiye aliye mpa mission za kugombea uraus ! na mbinu za ushindi weevepe huna nyota nini?
 
Sema wenzetu hawaangalii suala la mke kupata watoto jmn kibongobongo ndoa ni watoto ndo maana kuna age Ke Akifika hana mtoto anachanganyikiwa kabisa na makejeli kibao xo kuoa mwanamke alokuzidi usiwaze sana kuhusu watoto maana sisi Tuna expire date mayai yakivilia ndo basi tena afu uwe kapuku ndo patamu maana wenye hela hata kwa kupandikiza kama Janeth Jackson unapata
Umesema vya ukweli lakini ndani mkikubaliana na kuheshimiana basi lazima maisha yasonge vyema.
 
Insecurities..unafikiria ukiwa maarufu au unapesa ndio unakuwa jasiri kwa wanawake..unaweza kuwa Kama Zuzu kwa wanawake
 
Ila Ni mwiko Sana kwa mwanaume maskini kuoa mwanamke anayemzidi umri.Unaweza ukaonekana kituko Sana machoni pa watu.
 
Wanawake wakubwa wanapenda kupelekewa moto kwahyo wanaenda kwa wanaume ambao wanatoa moto wa kutosha
 
Back
Top Bottom