Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

Pesa ndio furaha yenyewe

Kuwa na pesa pekee ni furaha tosha, huna haja ya kuwa na furaha nyingine
kuna post moja mtandaon jeff bezos (amazonCEO) aachana na mke wake na kugawana mali mahakamani, japo akufilisika sasa kwa iyo situation alikuwa sawa kwa wakat huo kwel?
 
Kwa sababu hawana experience na pesa.

Alafu kwa profile yako inaonesha ndani una kiporo cha wali cha juzi, umekiweka sakafuni ili kipate ubariidi kisiharibike mapema ili kesho ukimalizie na chai flat
Mod unataka jamaa akujibu vibaya umlambe ban sio😂😂
 
Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.

Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?

Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?

Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
Pesa sio kila kitu ila ni ya muhimu
 
kuna post moja mtandaon jeff bezos (amazonCEO) aachana na mke wake na kugawana mali mahakamani, japo akufilisika sasa kwa iyo situation alikuwa sawa kwa wakat huo kwel?
Kuwa sawa kivipi?
 
Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.

Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?

Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?

Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
Kwani kwa mawazo yako hela ni kila kitu? Ingekuwa hivyo, wasio nayo wangekufa
 
Back
Top Bottom