Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
punguza ubish maswali mengine ayana majib alaf huwezi gawana mali na mwanamke aliyekusalit alaf ukawa sawa kifikra ndio maana kuna wanaume wanasema wanawake wote ni malaya same to women, kwa matatizo waliyokumbana nayo kweny mahusianoAlikwambia kuwa hana amani?