Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
kuna post moja mtandaon jeff bezos (amazonCEO) aachana na mke wake na kugawana mali mahakamani, japo akufilisika sasa kwa iyo situation alikuwa sawa kwa wakat huo kwel?Pesa ndio furaha yenyewe
Kuwa na pesa pekee ni furaha tosha, huna haja ya kuwa na furaha nyingine
Mod unataka jamaa akujibu vibaya umlambe ban sio😂😂Kwa sababu hawana experience na pesa.
Alafu kwa profile yako inaonesha ndani una kiporo cha wali cha juzi, umekiweka sakafuni ili kipate ubariidi kisiharibike mapema ili kesho ukimalizie na chai flat
Pesa sio kila kitu ila ni ya muhimuNimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
sasa pale wew richman alaf jogoo hawiki"Yeyote asemae hivyo amelaaniwa"
Pesa ndio kila kitu
furaha, amani nkKuwa sawa kivipi?
Kwani kwa mawazo yako hela ni kila kitu? Ingekuwa hivyo, wasio nayo wangekufaNimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
Atakupiga ban kuwa makini🤣🤣🤣 Ananichokoza tu ili aniletee matatizo
kila kitu kina umuhimu kwa wakati wakehela ingekua ni kila kitu matajiri wangenunua uhai ili waishi wasingekufa, ingawa hela ni hitaji la muhimu sana
ni hitaji mkuukila kitu na umuhimu kwa wakati wake