Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
punguza ubish maswali mengine ayana majib alaf huwezi gawana mali na mwanamke aliyekusalit alaf ukawa sawa kifikra ndio maana kuna wanaume wanasema wanawake wote ni malaya same to women, kwa matatizo waliyokumbana nayo kweny mahusianoAlikwambia kuwa hana amani?
hakikaí ½í±Kifo kipo tu hata kama hauna hela, hiyo ipo kiasilia
Wamejua baadavya kuwaona wenye nazo wakipambana maeneo mengine. Matajiri wanaoumwa na pesa zimeshindwa kuwaponya (yule mtoto wa tajiri/king wa kiarabu kulazwa miaka 11 kitandani) , matajiri ambao ndoa zao zimevunjika, pesa imeshindwa kusaidia (Jeff na mkewe). Matajiri ambayo wameshindwa kuwamudu watoto kwenye upande wa maadiki( Elon na mwanae).Kwanza wamejuaje pesa sio kila kitu wakati hawana 😂
Kwahiyo kwa sababu kuna wanaume wanasema hivyo inathibitisha kuwa ni ukweli?punguza ubish maswali mengine ayana majib alaf huwezi gawana mali na mwanamke aliyekusalit alaf ukawa sawa kifikra ndio maana kuna wanaume wanasema wanawake wote ni malaya same to women
Nakuona masikini kwenye ubora wako ukifatilia maisha ya wanaume wenzio matajiri.Wamejua baadavya kuwaona wenye nazo wakipambana maeneo mengine. Matajiri wanaoumwa na pesa zimeshindwa kuwaponya (yule mtoto wa tajiri/king wa kiarabu kulazwa miaka 11 kitandani) , matajiri ambao ndoa zao zimevunjika, pesa imeshindwa kusaidia (Jeff na mkewe). Matajiri ambayo wameshindwa kuwamudu watoto kwenye upande wa maadiki( Elon na mwanae).
Umegundua sababu umezungukwa na watu wasio na hela. Jaribu kuwa karibu sana na wenye nazo uwasikie wanasemaje juu ya pesa.Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
Hao ambao hawana hizo pesa wakiumwa hayo magonjwa, watapona kwa umaskini wao?Wamejua baadavya kuwaona wenye nazo wakipambana maeneo mengine. Matajiri wanaoumwa na pesa zimeshindwa kuwaponya (yule mtoto wa tajiri/king wa kiarabu kulazwa miaka 11 kitandani) , matajiri ambao ndoa zao zimevunjika, pesa imeshindwa kusaidia (Jeff na mkewe). Matajiri ambayo wameshindwa kuwamudu watoto kwenye upande wa maadiki( Elon na mwanae).
still MONEY IS NOT EVERYTHING .Nakuona masikini kwenye ubora wako ukifatilia maisha ya wanaume wenzio matajiri.
Utakuja kubakwa ukiendelea hivi
Hivyo kila kitu kina umuhimu. Asiye na pesa, atafute pesa, akiipata basi atafute vingine ambavyo hana. Kikubwa kila kitu kina umuhimu, ni nyakati tu zitakufanya ujue kipi ni muhimu zaidi kwa wakati huoHao ambao hawana hizo pesa wakiumwa hayo magonjwa, watapona kwa umaskini wao?
huo mfano halisia tu, na wakikosea pia tayar hilo ni dosari kwaiy mpaka hapo tu unakaza fuvu kuelewa "money is not everything"Kwahiyo kwa sababu kuna wanaume wanasema hivyo inathibitisha kuwa ni ukweli?
Na vipi kama wanakosea?
Acha kuutetea umasikini wewe mlokole.Umegundua sababu umezungukwa na watu wasio na hela. Jaribu kuwa karibu sana na wenye nazo uwasikie wanasemaje juu ya pesa.
Wewe unaonaje, je pesa ni muhimu sana?
Hakuna orodha ya kujua ni kitu cha ngapi. Muhimu ni kuwa vitu vyote muhimu kwa binadamu vinategemeana ili mwana wa adamu aweze kuishi kwa ukamikifu.
kwa taarifa yako ufalme wa mbinguni upo kwa ajili ya wasioweka mipaka kat ya maskin na tajir "we're the same"Acha kuutetea umasikini wewe mlokole.
Kwa taarifa yako hata ufalme wa mbingu upo kwa ajili ya sisi matajiri pekee
Hela si kila kitu, kama unazo.Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
í ½í¸í ½í¸í ½í¸kMasikini huwezi kujua kitu kama hiko na kusema hivyo ndo faraja yenu
Hakuna sehemu nimetetea umaskini.Acha kuutetea umasikini wewe mlokole.
Kwa taarifa yako hata ufalme wa mbingu upo kwa ajili ya sisi matajiri pekee
umeua mkali wangu..hii ndo point ya msingi...Sijui Sababu kwanini wanasema hivyo.
Ila Ni Sahihi kabisa Hela sio kila kitu.
Ila ni Muhimu kuwa Nazo.
Kwa sababu masikini ndio wanaowazika matajiri japo wanazo pesa.Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄