Lakini ni ukweli fedha sio kila kitu, ila ukiwa nayo unishi kwa uhuru na raha mustarehe sana,hivyo ni vyema tukawa nazo, zinarahisisha upatikanaji wa mahitaji mbalimbali. Nikikumbuka kuna mtu alipokufa watu wakahangika kupeba mhela yake kwenye viroba , nikajisemea pesa si kilakitu