Kwanini watu wa mikoani wanapenda kusalimia salimia?

Inferiority Complex + Uncivilised vinawatesa.
 
😅😅😅una stress
 
Ni sawa, lakini mambo lazima yaende yakibadilika, wakati ni fedha, gone are those days
Brother/sister, kweli wakati ni fedha na kuupoteza ni hasara.
Jee utajisikiaje mfano umepata ajali na usafiri wako uko hoi unahitaji msaada na watu wanakupita tuu wakisema TIME IS MONEY usubiri polisi watakuja kukusaidia?
Kusema hello kwa mtu hakukupunguzii muda wako
 
Madam, kuna recovery services, breakdown services utasalimia watu wote millioni 65 wa Tanzania for fear of unknown?
 
Una point, ila usitumie salamu kama security au uwekezaji, tuwe genuine, tusalimie kwa kumaanisha, vinginevyo kila mtu na hamsini zake
Salamu ni security tangu awali, kumjulia mtu hali, kumjua.

Mkuu kama hupendi salamu jamii fulani za Ulaya/ Marekani zingekufaa.

Yani kuna sehemu mtu anaona kukusalimu ni kama kukusumbua.

Ila Kiafrika afrika kama hupendi salamu, unaonekana mchawi.
 
Kwa watu mnaofahamiana salamu inaleta maana, kuna genuine concern ya kujua afya ya mtu na hali ya atokako. Mtu usiyemjua ataukimuuliza huu hali gani, akakujibu ni mgonjwa utamsaidia?

Najua ulishasikia mtu alitoka mkoa hana mtu Ila alipata wenyeji street wakampokea. Wakampa sehemu ya kulala, chakula na kumpa ramani ya mji hadi akatoboa. Hiyo ndio uswazi na ustaarabu wake,
kupata stranger wa kukuokoa ni story za kawaida ndio maana salamu inamatter sana kwa sababu ndio ustaarabu

Vingine ni vya kunogesha story tu, ni kama mtu akuulize kwenye simu habari yako, utamjibu nzuri hata kama upo depressed sababu ni utamaduni tu na sio mtu akikuuliza anamaanisha umtiririkie shida zako.. Hapana
 
Watu wa mikoani kwani wewe unaishi wapi ambapo sio mkoani,, Kama hupendi unachofanya fanya unachopenda...
 
Una point, ila usitumie salamu kama security au uwekezaji, tuwe genuine, tusalimie kwa kumaanisha, vinginevyo kila mtu na hamsini zake
Unaishi wapi bro huko kwenye genuine salamuz

Hata huko kwa middle and upper class haipo. Watu wanaangalia status na kitu unachomiliki ili wajue kama utawafaa kwa image au matumizi yao

Inshort kwenye genuine intentions bora uswazi maana wanakusalimu kama binadamu mwenzao kuliko huko juu wanaposalimia usefullness yako
 
Acha ujinga sisi wapori pori ulikuja kufanya nini kwetu porini pimbi wewr
 
Bottom line, salamu is more meaningless kwa mtu usiyemjua, kwa kifupi ni unafki
 
Kuishi kiasili unamaanisha nini?
 
Salamu ni uungwana tu hakuna jipya,we kama unachoka kuitikia nyosha mkono kuzijibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…