Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
Ni utoto na ubaguzi unakusumbua.
Kichwani mwako tayari kuna dhana ya kwamba hao watu sio wa level zako ni watu wachini ndomana unaona wanakusumbua.
Naamini ukikutana na jamii ambayo akili yako inahisi ni wenye status yako hata wawe 1000 utasalimiana nao. Au ukutane na watu wenye kipato kizuri hutaona wanakusumbua.
Kuishi mjini kumetufanya tujione tunajua sana kumbe tumejaza ujinga mwingi Kichwani.