Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hii dunia huwezi kumfurahisha kila mja!Kuna mtu anakusalimia unadhani Ni heshima kumbe nia na madhumuni Ni kukutapeli au kukuibia usiamini Sana kwenye hizo masuala ya salamu salamu Ni miavuli ya maovu sometimes...Nitasalimia kwa kiasi pale inapobidi Ila siwezi kuwa mtumwa wa salamu,maana binafsi usiponisalimia najisikia vizuri tuShida haipo Kwa maiti, shida Ipo Kwa wenye maiti kama Mumeo, watoto, nduguzo.
Alafu bahati Mbaya hatujui ni wapi Mauti itatupata, huo ndio mtihani.
Ukifika mazingira ya kusalimia Watu salimia Watu hata kama ni wote, hautopungukiwa na kitu.
Ukifika mjini mazingira ya kila MTU na time yake fanya vivyohivyo.
Siku hizi kuzika ni gharama Sana sio kama zamani