MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #101
nahadithia kutokea shamba, mpitimbiKwani wewe mwenyewe hupo Mkoani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahadithia kutokea shamba, mpitimbiKwani wewe mwenyewe hupo Mkoani?
Kila mtu yuko Mkoaninahadithia kutokea shamba, mpitimbi
Nimeona hata Robert Heriel ananiambia neno NITAKWAMA!hivi unadhani ukisalimiasalimia ukikwama wanakukwamua hao?salamu sio security ya kutatua changamoto zako!mi naona salamu nyingi ni namna ya kujifanya unajali watu while ndani ya mtu kaficha chuki na unafiki... Tusalimiane palipo na umuhimu wa kufanya hivyo
Watu mkishakuwa na vi-mafanikio vyenu ndio mnaanza kuona salamu ni kero.Code za kishamba sana, mambo ya kipori'pori. Ukipata ajali watu wanaanza kwa kukuibia, wanakupukutisha simu na vitu vingine vya thamani na ukiwa na hela nyingi wana kumaliza. Tena huko ni porini, vijijini
Mpaka hapo we unonekana ni mporipori kuliko hao waporipori wenyewe.Habari wana JF
Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200
Mambo ya kijinga sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract alafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.
Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.
Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?
Niko katikati Narung'ombe na Aggrey street unasikia, dada habari?....🙄Kama uko mjini upo sahihi lakini Kanuni hiyo haitumiki Kijijini.
Nasisitiza, usiwe hivyo Mpango wangu usije ukaishia njiani
mkoani ni wapi huko?Habari wana JF
Niko shamba kwa mitikasi ya hapa na pale, yaani kila mtu anasalimia, kwa siku unasalimiwa zaidi ya mara 200
Mambo ya kijinga sana na ni code za kishamba sana, unakuta una mawazo yako mtu ana ku-distract alafu cha ajabu hakujui na hiyo salamu haijengi chochote.
Kwa hesabu ya kawaida energy unayotumia kujibu watu 200 ukii-conserve unaweza ukafanya jambo kubwa la msingi.
Tusalimie watu tunaowajua na tuwe tunamaanisha, vinginevyo tunachoshana. Mmesikia nyinyi wapori pori?
😂😂😂😂Kwanza sitaki mchumba anaesalimia salimia Sana Nina wivu!
Halafu leo umeniudhi Sana kutetea hili suala
Mpori-pori wa mchongo, wazungu wana ku-mock wewe boyaMpaka hapo we unonekana ni mporipori kuliko hao waporipori wenyewe.
Inaelekea huna exposure ya kutosha.
Mtu mwenye exposure akienda jamii furani hujitahidi ku cope na desturi za jamii hiyo ili kupata wepesi kwenye mishe zao then mishe zako zikiisha unawaachia hizo mila zao.
Angalia wazungu wakija huku vijijini hujitahidi kusoma na kuelewa utamaduni wa wenyeji wao na kiishi sawa na wenyeji wao.
Uzungu hubakia kwenye ngozi tu ila mambo yote hufuata ya waporipori wenueji wao.
Mtu kama wewe ambae sio flexible ni ngumu sana kupata mafanikio na maendeleo makubwa
Kwani mzungu ndio Nani sasa Sasa Hadi awe Kama special case?kwanza ushawahi ona huyo mzungu anasalimia kila mtu,anasalimia mtu mwenye kazi nae.Mpaka hapo we unonekana ni mporipori kuliko hao waporipori wenyewe.
Inaelekea huna exposure ya kutosha.
Mtu mwenye exposure akienda jamii furani hujitahidi ku cope na desturi za jamii hiyo ili kupata wepesi kwenye mishe zao then mishe zako zikiisha unawaachia hizo mila zao.
Angalia wazungu wakija huku vijijini hujitahidi kusoma na kuelewa utamaduni wa wenyeji wao na kiishi sawa na wenyeji wao.
Uzungu hubakia kwenye ngozi tu ila mambo yote hufuata ya waporipori wenueji wao.
Mtu kama wewe ambae sio flexible ni ngumu sana kupata mafanikio na maendeleo makubwa
Una uhakika unaosalimiana nao wanakupenda?Salam huleta amani ya nafsi,salam huleta upendo,
Binadamu waliagizwa na Mungu kupendana,
"Pendaneni,na hamtapendana mpaka pale mtakapokua mkisalimiana" hii ipo kwenye Uislamu na hutumia salam ya "Äsalamu alaikum-Amani iwe na wewe"
Hakuna sehemu niliyosema hivyo,soma tena comment yangu kwa umakini.Una uhakika unaosalimiana nao wanakupenda?
Unafki ni fani yake Mleta mada [emoji847]Hupendi salamu, ila umeanza na "habari wana jf" hufikirii kama utatupotezea muda kukujibu!?
Niko katikati Narung'ombe na Aggrey street unasikia, dada habari?....🙄
😂😂Dah!utanichosha Sana kusalimia mara mbili nitawaunganisha na mama mkwe wako muendelee na salamu zenu Mimi natangulia zangu mbele mdogomdogoMimi nimuungwana lazima nisalamie,
Ila inategemeana na mazingira,
Huwezi msalamia MTU ambaye haja-focus na wewe.
Najua wivu unakusumbua, na Mimi ni MTU mwenye mizaha, Sisi Watu wenye mizaha na wacheshi kila MTU tunamuona ni ndugu yetu na NI muhimu kwetu na anastahili kuwa na furaha, ikiwa salamu itampa furaha hatuoni shida kumpa salamu.
Ukishaingia kwenye serikali yangu, nitakuwa nasalimia mara mbili, yakwako na yakwangu, ili usichoke, Sawasawa
Aah mtongozo wapi ndio salamu zenyewe hizo zinazochosha ubongo.😂😂😂
Hiyo salamu, huo ni mtongozo,
Sasa Kariakoo utasalimiana na watu wangapi?
Hata Mimi ninawivu, sitaki My Archangel asalimiwe salimiwe na kila MTU.
Kwa mtoto wa kike kusalimia salimia haipendezi,
Mtoto wa kike maringo, kujishaua ni muhimu.
Ila Kwa Sisi wanaume salamu ni lazima, alafu hatutakiwi kuringa wala kujishaua.
Mwanaume kuibania salamu inakuwa haikai vizuri,
Ila Kwa Mwanamke sio ajabu na sio vibaya kwani tunajua vichwa vya kinadada havijakaa sawasawa
😂😂Dah!utanichosha Sana kusalimia mara mbili nitawaunganisha na mama mkwe wako muendelee na salamu zenu Mimi natangulia zangu mbele mdogomdogo