baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kama Ingekua ni norm kwa waisilamu inge tokea kila siku, kitu gani kiwafanye waisilamu wafanye fujo kwenye machafuko halafu miaka 9 mfululizo waache does that make sense to you?Machafuko gani ya kuvunja makanisa na kuwaua wakristo ambayo hautaweza kuyahusisha na maswala ya ubaguzi wa kidini??
Unashauri nisitumie source za wakristo wa west kwamba wanaongopa??
Mimi naweza kukubaliana nao tu kwa kusoma mafundisho yenu yaliyojaa ubaguzi kuwa muislamu ndugu yake ni muislamu.
Naweza kukubaliana nao kuwa malalamiko yao ni ya kweli kwasababu Quran yenyewe imetoa kibali cha kuwafanyia fujo wasio waislamu kupitia Surah 3:151 na Surah 2:191 zinazoidhinisha vurugu kwa wasiokuwa waislamu.
Na Quran sio Gazeti, usome utafsiri, kama ilivyo vitabu vya sheria ama vitabu vyengine vya intelectual vinahitaji ujuzi, na kitu kikubwa ambacho nyie sio waisilamu mnakosea ni hicho.
Kila Aya ya Quran ni lazima, narudia ni lazima ujue imeshuka wapi na kulikua na sababu gani imeshuka, then ndio mengine yafuatie.
Quran 2:191 kuelewa hii Aya unatakiwa tuanzie 2:190 mpaka 2:195 na maana ya Aya si kuua kila mtu bali wale tu wanaowafanyia "persecution" waisilamu. Kaangalie tafsiri ya ibn Kathir ama kitabu chochote kikubwa.
Quran 3 151 sijaelewa hata vinahusiana nini Na tunachoongea hapa.
Mwisho wa siku hao wakristo wa middle East wapo na waisilamu wenzao, hawayaoni wala kusikiliza propaganda za west, nyie ambao mpo hupu hamjui lolote mpo busy kuwasemea kwa Vitu hata msivyo vijua.