Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika Allah ni mbora kati ya waongo.Ni huyu
Roho mbaya na za uongo za MUNGU
Je, mistari ifuatayo ina maana gani? Je, inamaanisha kwamba MUNGU Mwenyezi aliwafanya watu hawa, zaidi ya mapenzi yao, kuwa waovu na waongo?
1 Samweli 16:16 "Bwana wetu na aamuru watumishi wake hapa wamtafute mtu awezaye kupiga kinubi. Atapiga wakati roho mbaya kutoka kwa Mungu itakapokujilia, nawe utajisikia vizuri."
1 Samweli 18:10 "Kesho yake, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamjia Sauli kwa nguvu. Alikuwa akitabiri nyumbani mwake, na Daudi akipiga kinubi kama kawaida yake. Sauli alikuwa na mkuki mkononi mwake..." MWINGINE ROHO MBAYA KUTOKA KWA MUNGU?! Tena, ni mafumbo tu.
1 Samweli 19:9 "Lakini roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamjilia Sauli, alipokuwa ameketi nyumbani mwake, na mkuki wake mkononi mwake. Daudi alipokuwa akipiga kinubi,..." ROHO NYINGINE MBAYA KUTOKA KWA MUNGU?!
1 Wafalme 22:22 “ ‘Kwa njia gani? BWANA akauliza, “ ‘Nitatoka na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,’ akasema. “ ‘Utafanikiwa kumshawishi,’ asema BWANA, ‘Nenda ukafanye.
1 Wafalme 22:23 “Basi sasa BWANA ametia pepo wa uongo vinywani mwa manabii wako hawa wote;
2 Mambo ya Nyakati 18:21 “ ‘Nitakwenda na kuwa pepo wa uongo katika vinywa vya manabii wake wote,’ akasema, ‘Utafanikiwa kumshawishi,’ asema BWANA. 'Nenda ukaifanye
chuki kwa wasio waislam.Kama kipi kinarejea katika dini?
magaidi wote ni waislam lakini sio kila muislam ni gaidi.Mnaona sas mlivo na matatizo instead ya kuwachukia na kuwapinga hao al shabab na wengine mnachukia uislam unaokataza kinachofanywa na hao boko haram.
Hiyo hata haiji, katupeHulaumiki umelishwa matango pori ya kuabudu picha ya shoga la Kitaliana kutoka Roma Cesaro Borgia
View attachment 2902115
Hakuna cha kuaminishwa ila mwaarabu ni mtu katili na mpenda fujo (mpenda vita) hata wafuasi wa dini yao nao tabia zao zinafanana.Wazungu walitumi nguv nying na kutuaminisha kua ivo muarab ni mtu mbaya! Na sisi tushajenga kwenye akil yetu picha ya muarabu ipo vp
Ndugu sijajua hata kama umeelewa ulichokiandika.. Hakuna point yoyote hapa uliyoweza kuthibitisha direct kuhusu mapungufu ya dini uliyoitaja. Kaa kesho jioni sikiliza BBC, VOA au utizame Aljazeera uangalie nchi zinazoongelewa kila siku kuwa na mapigano na mabomu zipo china ya misingi ya dini gani. Ukishafanya hivyo ndiyo uje hapa tujadili, usikurupuke kujibu tu kwa mihemko bila kuwa na facts.WAKRISTO WENZAKO HAWA NA WAYAHUDI WA MAREKANI NDIO MAGAIDI WAKUBWA WA ULIMWENGU
The CIA and the US have led global campaigns of terror across Latin America, the Middle East, Southeast Asia, and Africa.
We routinely arm, support, train, and fund right wing military death squads and dictators when it suits our best interest.
Examples include the Contras in latin America who killed civilians and the CIA allowed to sell crack to black communities to fund their terrorist campaign, the Mujahideen in Middle East who we once called brave freedom fighters before killing them and countless civilians under bush, we armed the Khmer rouge and Pol Pot who led a terror campaign against Vietnam and Cambodia with a kill count in the millions, the KLA who we deemed terrorists publically but funded and armed secretly, and the Indonesian government in their genocide against East Timor.
By aiding these groups and guiding them we are carrying out genocide. We coup like you would not believe, overthrowing democratically elected socialist leaders all across Latin America in violent and bloody coups and assisting rogue actors as they kill civilians and assassinate or kidnap leaders. Remember that we couped over 87 separate countries. As an example is 1953 Operation Ajax in which we overthrew a communist dictator and installed a pro-western, secular, anti communist, military dictatorship (we later invaded Iran anyways); i.e. we overthrew one dictator to install another.
Another is Chile where we spent tens millions to orchestrate the overthrow of democratically elected socialist leader Allende to install the dictator Pinochet.
We also illegal direct warfare, saturation bombing, covert operations and CRBN weaponry which is illegal under international law but doesn’t apply to us because we are simply too powerful to stop. Vietnam, Cambodia, Laos, Lybia, Afghanistan, and Iraq were all illegal wars in international law.
In Iraq alone we killed between 270-370 thousand civilians alone. In Afghanistan we killed 51,000 taliban and 47,000 civilians, almost a 1 to 1 ratio.
In Vietnam where the war aim was solely killing as many people as possible, we killed 2,000,000 Vietnamese 675,000 of which were civilians. The Cambodian genocide, perpetrated by the Khmer Rouge who was backed by the US killed 2.5 million civilians. These are numbers of civilians not seen since the Nazi regime. Under war criminal Henry Kissinger in Laos, 200,000 people were killed by bombs dropped every 8 minutes every 24 hours for 9 years. This killed a tenth of their population. Kissinger’s saturation bombing of neighboring Cambodia killed 50,000. This is not even mentioning our murderous covert operations like the failed Bay of Pigs invasion of Cuba or operation Mongoose.
Election interference and installing military dictators.
This takes the form of direct election meddling with votes directly, media interference, or absorption of foreign media companies running propaganda. Mainly done in Latin America and mainly taking place between 1949 and 2000, according to the book Meddling in the Ballot Box: The Causes and Effects of Partisan Electoral Interventions, our ideal candidate has won in almost every case. As in Iran and much of latin America, we routinely install dictators who will open their markets.
We also assassinate heads of state, kidnap and kill leftists, use torture and extrajudicial killing, and use murderous sanctions which kill mainly malnourished children and women.
So after the US leads a coup in your nation, funds your terrorists, kills your civilians, leads a direct illegal war, and installs a dictator who is pro western and economically neoliberal, the IMF scrambles in to loot the war torn nation. To achieve stability again these nations need money which the IMF has but will only give on one condition, what is known as structural adjustment or the forcible privatization of every sector of your economy.
These adjustments are extremely one sided in favor of the US and their first world allies and force the rapid sell off of oil and mineral rights. Multinational finance, oil, and mineral extraction companies come in to secure cheap resources and cheap labor to benefit the first world and economically devastates the poor third world nation who will see none of the profits generated. These resources are sent to the first world who manufacture goods and sell back to the couped nation at a large premium. These countries are most often than not never able to repay their debts with interest.
The narrative, tactics, funding and institutional supports of the U.S. post-9/11 wars fuel repression and corruption and escalate cycles of violence. The fact of the matter is that the US has always used terrorism to secure foreign interests because local instability creates conditions for pro-western regime change and one sided economic deals that devastate the third world.
keep spitting fire my friend, don't ever let a pathetic right-wing-pro-US military jingoist tell you off, and especially not a fucking liberal.
Vema mkuu, nimelipenda jibu lako.Hakuna cha kuaminishwa ila mwaarabu ni mtu katili na mpenda fujo (mpenda vita) hata wafuasi wa dini yao nao tabia zao zinafanana.
Mfano hai angalia ndugu yako Jagina ndiyo utajua uislamu ni dini ambayo inafanya ichukiwe.
kweli kabisaNafikiri sababu kuu inayofanya waislam kuona kama wanabaguliwa ni matendo yao wenyewe na uislam ni kama uarabu na waislamu hawa ambao wamejikita kwenye dini sana wanachuki sana na watu ambao ni watu wa dini nyingine ,mfano: kuwaita watu wadini nyingine majina kama kafiri ,mayahudi na mbegu hii inapandwa kwa watoto wadogo kitu kinachopekea watoto hawa kuona watu ambao sio waislam kama maadui.
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):Biblia
taja muarab asie muislam aliyewai ua watu hovyo hovyo kujilipua au kuteka watu hovyoYani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.
Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?
Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.
Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:
1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam
Acheni chuki za kijinga
"Juu" ni above the Earth surface.....kwani juu ni wapi na chini ni wapi kwenye ulimwengu?
akili za kimaskin hz , mtaletewa mpk linMbona Waarab ni ndugu zetu katika imaan!! Sasa kwa nini tuwachukie tena ndugu zetu? Kwanza wamekuwa wakituletea tende wakati wa mfungo, na pia nyama ya ngamia na kondoo wakati wa sikukuu ya Eid.
Usiwe unaleta maandiko ya biblia wakati biblia yenyewe hauielewi.hiyo ni biblia ipi ??RSV ; NIV , KJV
8 Bible Verses on Christ’s Descent into Hell
by Dr Taylor Marshall
Saint Paul teaches us in Ephesians 4:9 that Christ our Lord descended into Hell after He offered His life on the cross. “Now that He ascended, what is it, but because He also descended first into the lower parts of the earth?” Note here that Hell is described as having “parts” that is the four parts of Hell.
- Saint Peter said in Acts 2:24 that “God hath raised up Christ, having loosed the sorrows of hell, as it was impossible that He should be holden by it.” Christ loosed the Old Testament saints from hell.
- Saint Peter also wrote in 1 Peter 3:19 that “Christ coming in spirit preached to those spirits that were in prison, which had some time been incredulous.” On this verse, Saint Athanasius says that “Christ’s body was laid in the sepulchre when He went to preach to those spirits who were in bondage, as Peter said.” (Ep. ad Epict.)
- The prophet Hosea foretold the descent of Christ into Hell in Hosea 13:14 by placing these words into the mouth of the Messiah: “O death, I will be thy death; O hell, I will be thy bite.”
- Zechariah foretells the redemption of those in the Limbo of the Fathers in Zech 9:11: “Thou also by the blood of Thy Testament hast sent forth Thy prisoners out of the pit.” What could this mean except that the Messiah would free people from the underworld?
- Colossians 2:15: “Despoiling the principalities and powers, He hath exposed them confidently.” This refers to Christ’s victory over the condemned angels who are the demons of Hell.
- Psalm 23:7: “Lift up your gates, O ye princes,” which the medieval Gloss interprets: “that is–Ye princes of hell, take away your power, whereby hitherto you held men fast in hell”.
- In Ecclesiasticus 24:45, Siracides (author of Sirach) prophecies: “I will penetrate to all the lower parts of the earth.”
umeandika uchafu , siasa muda mwingine inatufelisha , umeweka siasa kwenye mambo sereous , Waislam ni watu wakorof popote pale wao ndo huua wengine kwa misingi ya diniChuki au ubaguzi dhidi ya Waislamu mara nyingine unaweza kutokana na kutokuelewa na miseducation, pamoja na sababu nyingine kama vile vyombo vya habari, matukio ya kihistoria, na hali ya kisiasa. Ni muhimu kutambua kwamba kuenea kwa maoni hasi au chuki dhidi ya jamii fulani haikubaliki na inakwenda kinyume na misingi ya haki za binadamu na utofauti wa tamaduni na dini.
Hapa kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia chuki dhidi ya Waislamu:
1. Ubaguzi wa Kidini:
- Baadhi ya watu wanaweza kuwa na upendeleo au hata chuki dhidi ya dini tofauti, na hivyo wanaweza kuwa na maoni hasi kuhusu Waislamu kwa msingi wa dini yao.
2. Ubaguzi wa Kikabila na Kitamaduni:
- Waislamu wengi wanatoka katika jamii tofauti na za kitamaduni, ikiwa ni pamoja na Waarabu. Ubaguzi wa kikabila au kitamaduni unaweza kuchangia maoni hasi.
3. Ugaidi na Vyombo vya Habari:
- Matukio ya kigaidi yanayofanywa na makundi fulani yanaweza kutoa taswira hasi ya Uislamu kwa jumla. Vyombo vya habari mara nyingine vinaweza kuchochea hofu na chuki kwa kuripoti matukio haya bila kuzingatia muktadha kamili.
4. Ukosefu wa Maarifa:
- Kutokuelewa kuhusu imani za Kiislamu na tamaduni za Waislamu kunaweza kusababisha maoni potofu au ya kupotoshwa.
5. Mzungumzaji wa Kujitenga (Othering):
- Mara nyingine, watu wanaweza kuhisi kutengwa au kuwaona Waislamu kama "wengine," ambao ni tofauti nao. Hali hii inaweza kuchangia kutoelewa na kuleta chuki.
Ni muhimu kukuza elimu, kuelimisha, na kufanya mazungumzo yenye heshima kati ya jamii na dini tofauti ili kupunguza chuki na kusaidia watu kuelewa tofauti zilizopo na kuheshimu utofauti wa tamaduni na dini. Kuelimisha jamii juu ya ukweli wa dini mbalimbali na kukuza mazungumzo ya kuheshimiana ni njia ya kujenga jamii inayokubali na kuheshimu utofauti.
Mahmoud Mohammed Taha na Abdirahman Ahmed hao ni wasudan walionyongwa kwasababu ya apostasyHio nchi ya kiislam iliyomuua mtu kwa kurtadi ni ipi?
Utaweza kusema nchi fulani ni ya kiislam if iko full gear kwenye matumiz ya sheria za kiislam unless ni kutafuta ujiko usio na msingi.Saudia sio nchi ya kiislam bali ni nchi ya waislam ndio maana kuna ruhusa ya pombe na mambo mengine ambayo uislam umeyakataza.
West na vikundi vyao, mfano mzuri tu angalia Armenia hapo, kuna Genocide ya maana inaendelea Azerbaijan wakisaidiwa na Israel na west wameua watu zaidi ya laki, kimyaa husikii kelele za kimataifa, sababu Armenia ni Orthodox, hao waarabu na waisilamu hasa Levant ndio wanaotetea Armenia, So everywhere ukienda Middle East utakuta Wakristo ni collateral damage ya west, ni Tool tu ya propaganda wakifa sawa tu, so hao wakristo sababu washajitambua ndio maana unakuta wana Ally na waisilamu wenzao kupigana na common enemy.Hao wote wanauliwa na nani?
Mbona Muhammad aliua watu waliokuwa wanampinga kwenye Uislamu wake aliokuwa anaueneza?Saudi hawafuati kitabu , nakupa mfano kuna mwanawachuoni (mtu aliyesoma elimu ya dini ya kiislamu) wa kishia ka majina Nimr Baqir al-Nimr aliuwawa nchini saudi arabia mwaka 2016 kwa sababu tu alionesha kupinga uongozi wa saudi.
Hakuna sehemu kwenye quran utakuta eti umuuwe mtu kwa sababu ya kutopendezwa na uongozi wako .
Kingine saudi wameruhusu pombe na mpaka sasa wameshatengeneza ma disco mengi tu na yanatumika Hakuna sehemu kwenye quran utakuta hayo yameruhusiwa , ni wa quran ipi wanayoitumia wao?
Ukisoma report yako ni ya 2013 same time wakati wa machafuko ya Egpty na kutolewa Hosni Mubarak kuja morsi, Nchi haikua stable
Ushauri wangu nimekupa usitafute source za Wakristo wa Middle East kupitia West, kwa zaidi ya miaka 1000 west wanaua Wakristo wa Middle East haya mambo hayajaaza leo wala Jana Yameanza hata kabla Mtume hajazaliwa.
West wamechanganya Ukristo na Mila zao za Kigiriki na Kiroma, then wanaforce wakristo wote wafuate ndio maana ukaona mgawanyiko wa Katoliki na Orthodox, Makanisa ya Mashariki kama Ya Kirusi na middle East mara kwa mara yamekua targeted na hao west kwenye Genocide mbalimbali.
Hapo Lebanon kwani Serikali inaundwa na nani? Maraisi wengi wa hio Nchi ni Wakristo na Huyu ni MICHAEL Aoun alikuwa Raisi wa Lebanon ka sum up vizuri tu
Hapa akielezea kuhusu kwanini Wakristo wa Lebanon wanaungana na Hezbollah
"We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society."[95]
So si kweli kwamba Hezbollah wanashambulia Wakristo unless ni Mossad na Makundi mengine ya Wasaliti.
Wakristo wa Middle East hawajaondoka kwa ajili ya Waisilamu bali Sababu ya Usa na washirika wake, ndio maana hata Migrant wakristo wanaokimbia Middle East wanaenda South America na sio Usa na Ulaya, wameitransform South America kuja kuipa Nguvu Middle East baadae.
Jifunze Ukristo Wa Middle East kupitia Wakristo wenyewe wa Middle East na sio west,
Pitia hapa kwa real feedback
View: https://www.reddit.com/r/AskMiddleEast/comments/vbwj67/christian_of_the_middle_east_is_this_true_if_so/