Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Shida mmegoma kuelewa kabisa.Swala la mtume kumuoa aisha linautata wapo wanaosema sio sahih. But kwa mujibu wa sayans mwanamke yupo tiyar kuolewa baada ya kuvunja uongo sabab mwili upo tiyar kubeba mimba.
Kwa hiyo ndiyo maana huwa mkiulizwa "hapo vipi?", huwa mnajibu "hapo sawa?"
Screenshot_20240212-005243_Quora.jpg
 
Qur an imeteremshwa kwa kiarabu sas nataka sehem kweny hio aya unioneshe neno la kiarabu lenye maana LUGHA YENU.

Mpumbavu kweli. Hujui kama Quran imetafsiriwa.. mimi nioneshe neno la kiarabu je mimi ni mwarabu.

Mimi nakupa mstari wa kiarabu na tafsiri yake ya kiswahili. Ama waliotafsiri quran ni waongo ?
 
Mimi sina chuki na uislamu kwa sababu ya mabaya ya waarabu maana mabaya yao naadithiwa tu kama ninavyoadithiwa mabaya ya wazungu

1.Mimi nachukia uislamu kwa sababu ya baadhi ya waislamu wa hapa jamii forum
2.nauchukia uislamu kwasababu ya matendo ya baadhi ya waumini wao

Mf, wale walio lipua waumini wa kanisa katoliki pale Arusha

Wale walio vamia supamaketi pale Nairobi
Wale walio lipua ubolozí pale dar na Nairobi

3. Nachukia uislamu kwa sababu ya tabia ya kulazimisha wamefunga wao wanakulazimisha na wewe ufunge
Wanalazimisha hakuna kujenga kanisa
Kulazimisha watu wafuate matakwa yao.
 
Kwanini nchi inayotekeleza adhabu kwa kufuata kitabu cha dini isiwe nchi ya kidini?
Saudi hawafuati kitabu , nakupa mfano kuna mwanawachuoni (mtu aliyesoma elimu ya dini ya kiislamu) wa kishia ka majina Nimr Baqir al-Nimr aliuwawa nchini saudi arabia mwaka 2016 kwa sababu tu alionesha kupinga uongozi wa saudi.

Hakuna sehemu kwenye quran utakuta eti umuuwe mtu kwa sababu ya kutopendezwa na uongozi wako .

Kingine saudi wameruhusu pombe na mpaka sasa wameshatengeneza ma disco mengi tu na yanatumika Hakuna sehemu kwenye quran utakuta hayo yameruhusiwa , ni wa quran ipi wanayoitumia wao?
 
Mpumbavu kweli. Hujui kama Quran imetafsiriwa.. mimi nioneshe neno la kiarabu je mimi ni mwarabu.

Mimi nakupa mstari wa kiarabu na tafsiri yake ya kiswahili. Ama waliotafsiri quran ni waongo ?
Sas hio ulioleta ni tafsir au kuna mwehu mahali kaokota smartphone nazungumza nae.
Sijui unavuta bangi
 
1. Copts christian in Egypt

Mashambulizi yaliyofanywa na waislamu kwenye makanisa zaidi ya 45 na kuua watu
View attachment 2901974

View attachment 2901976

Kaa maelezo zaidi unaweza kusoma hapa
Ukisoma report yako ni ya 2013 same time wakati wa machafuko ya Egpty na kutolewa Hosni Mubarak kuja morsi, Nchi haikua stable
2. Lebanon
Mwaka 2018 Hezibollah walishambulia makao makuu ya chama cha kisiasa cha kikristo kwa mawe na risasi.

Hopefully hakukuwa na majeruhi wala vifo.

Mwaka 2019 hao hao Hezibollah walishambulia waandamanaji wa kikristo ambao walikuwa wanaandamana kupinga utawala wa kisiasa wa Lebanon uliokuwa unawakandamiza jamii ya wakristo.

Mwaka 2016 Lebanon lilifanyika shambulio la kujitoa muhamga ambalo lili target maeneo yenye wakazi wengi wa kikiristo.

Watu watano walikufa wakati 15 wakiwa majeruhi.

Mwanzoni mwa mwaka 2021 mchungaji wa kanisa la Katoliki alihojiwa akisema idadi ya vijana wengi wakikristo inazidi kupungua kwa kasi.

Vijana wengi wanakimbia mji wa Beirut kwasababu ya unyanyasaji wanaoupata kutoka kwa jamii ya watu wa kiisilamu. Soma hapa

Mataifa karibia yote ya kiislamu hayana mazingira salama kwa asiye muislamu.
Ushauri wangu nimekupa usitafute source za Wakristo wa Middle East kupitia West, kwa zaidi ya miaka 1000 west wanaua Wakristo wa Middle East haya mambo hayajaaza leo wala Jana Yameanza hata kabla Mtume hajazaliwa.

West wamechanganya Ukristo na Mila zao za Kigiriki na Kiroma, then wanaforce wakristo wote wafuate ndio maana ukaona mgawanyiko wa Katoliki na Orthodox, Makanisa ya Mashariki kama Ya Kirusi na middle East mara kwa mara yamekua targeted na hao west kwenye Genocide mbalimbali.

Hapo Lebanon kwani Serikali inaundwa na nani? Maraisi wengi wa hio Nchi ni Wakristo na Huyu ni MICHAEL Aoun alikuwa Raisi wa Lebanon ka sum up vizuri tu

Hapa akielezea kuhusu kwanini Wakristo wa Lebanon wanaungana na Hezbollah

"We chose this long-term political option, because we knew that the interests of the West do not lie with us. Its interests lie with Israel, on one hand, and with the oil, on the other hand. We are not included among its interests at present. The only thing it cares about is resolving the problem of Israel at our expense, through the naturalization of the Palestinians in Lebanon, and pleasing the oil-producing countries, because its material interests lie there. Therefore, we had to choose a policy of coordination with all elements of Lebanese society, and with our neighboring countries, in order to build strong, solid, and mutual relations. Lebanese society in general, and the Christians in particular, are not used to this, and therefore, it has aroused fear and concern. However, our confidence in ourselves, in the choice we made, and in our views have made it possible for us to stand before you, and to ask you to give the efforts we are undertaking a chance. A short while ago, in Doha, we saw the results. All the Christians in the Middle East, all the Christians in the Middle East are fleeing, while the Christians of Lebanon are returning. The forecasts of the entire world. For 25–35 years, we have been reading that the Christians in the Middle East are becoming extinct. Western policies have led the Christians in the Middle East towards extinction. Western policies have not left a single Christian in Palestine and the holy places. Western policies have not left a single Christian in Iraq. They intended to get rid of us by marginalizing us, and by treating us as a superfluous element in society."[95]

So si kweli kwamba Hezbollah wanashambulia Wakristo unless ni Mossad na Makundi mengine ya Wasaliti.

Wakristo wa Middle East hawajaondoka kwa ajili ya Waisilamu bali Sababu ya Usa na washirika wake, ndio maana hata Migrant wakristo wanaokimbia Middle East wanaenda South America na sio Usa na Ulaya, wameitransform South America kuja kuipa Nguvu Middle East baadae.

Jifunze Ukristo Wa Middle East kupitia Wakristo wenyewe wa Middle East na sio west,

Pitia hapa kwa real feedback

View: https://www.reddit.com/r/AskMiddleEast/comments/vbwj67/christian_of_the_middle_east_is_this_true_if_so/
 
Sawa lakini umewahi kuona wapi wakristo wamefanya uhalifu na wana chant Allahu Akbar?
Umejuaje hao ni waisilamu ama wakristo? Kuna vikundi 12 Palestina vilivamia Israel hio siku, Hamas ni kimoja wapo ila kulikua na wengine pia.
 
Vagina... Upo? Mi nikiliona jina lako sheikh wangu nasisimka sana. Nasema eeeeh.... Inshallah.... Una jina zuri. Mashallah.

sawa Chizi

Christ” or Khristos (Χριστός) means “anointed one” and comes from khrio (χρῑ́ω) meaning “to rub” (i.e., with oil), from the Proto-Indo-European *gʰer-. There is a Sanskrit cognate of Khristos
 
Sijui unasoma Biblia ipi Masihi yupo mmoja. Unasema Mtume alienda Motoni? Sababu tu kuwa alisema hajui aendako? Umekufuru. Kila siku tunakumbushana kumswalia mtume kumbe wewe humswalii?

Ni yupi ??
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
Mbona nchi za kislam mbali sana hapa bongo tu muislam mweusi haruhusiwi kugusana na mwarabu wakati wa kuswali wanatengwa kabisa humo misitikini wakigusana viganja vya miguu
Muda mwingine wakikuta nafasi halafu sio mwarabu wanaambiwa kuna mtu hapo ili mradi wasichangamane nao
 
Sijui unasoma Biblia ipi Masihi yupo mmoja. Unasema Mtume alienda Motoni? Sababu tu kuwa alisema hajui aendako? Umekufuru. Kila siku tunakumbushana kumswalia mtume kumbe wewe humswalii?

Matthew 16:, 20 NDIPO ALIPOWAKATAZA SANA WANAFUNZI WAKE WASIMWAMBIE MTU YE YOTE ya kwamba yeye ndiye Kristo”.


Kazi kwako , CHIZI
 
Sasa we unataka upendwe na watu waliomkufuru hadi Mungu wao? Ambao Hawaombi wala kutaka msaada kwa jina la Mungu ila kwajina la mwanadam mwenzao
 
Wakristo Nchi za kiarabu wamelindwa hadi leo, nani anawaua hawa Wakristo? Si ni Israel? Hutaona si humu wala Nchi za Magharibi wakimkemea Israel na washirika wake, Bali ni propaganda kwenda mbele.

1. Egpty, Kuna wakristo wengi sana wa Copts na wana nguvu Egpty na wanamiliki uchumi mkubwa tu, mfano ni Familia ya Sawaris ambayo ndio familia Tajiri zaidi Africa, na katika Familia Tajiri Duniani.

2. Lebanon Nchi nyengine yenye Wakristo wengi ya kiarabu, wana Katiba zao wenyewe namba ya kuunda Serikali ya mseto na waisilamu, For years wanauliwa na West hao wakristo na kupelekea wakristo wa jiunge na Hezbollah, Syria na Makundi mengine ya kiisilamu.

3. Palestina Nchi nyengine ilikuwa na Wakristo wengi, kuanzia miaka hio ya Crusaders west wanaua Wakristo hilo eneo, ila waisilamu ndio wakawatetea na hadi kulinda makanisa yao. Mpaka leo wakristo na waisilamu wana coexist kwa amani tu.

4. Iraq wakati wa Saddam wakristo walikua wakiishi kwa amani kabisa, wakapewa vyeo vikubwa vikubwa nini kimetokea baada ya Usa kuvamia? Wanauliwa

5. Syria wana wakristo wa kutosha nao waliishi kwa amani tu mpaka 2011 baada ya Uvamizi wa Usa Assyrian Christians wanauliwa kama kuku.

Tafuta source za Wakristo wa Middle East na usisubirie vyombo vya Magharibi vikuambie stori za kutunga, waarabu wengi wakristo na waisilamu zinaenda, na movement zote za Pan Arabs miaka kama 70 iliopita utaona wakristo walikuwa bega kwa bega na waisilamu.

Sehemu kama Oman kuna hadi Indigenous wahindu ambao wana Matemple yao na wanapewa hadi vyeo vya usheikh wanapata haki zote kama Raia wengine.
Hao wote wanauliwa na nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom