Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Kama Ingekua ni norm kwa waisilamu inge tokea kila siku, kitu gani kiwafanye waisilamu wafanye fujo kwenye machafuko halafu miaka 9 mfululizo waache does that make sense to you?

Na Quran sio Gazeti, usome utafsiri, kama ilivyo vitabu vya sheria ama vitabu vyengine vya intelectual vinahitaji ujuzi, na kitu kikubwa ambacho nyie sio waisilamu mnakosea ni hicho.

Kila Aya ya Quran ni lazima, narudia ni lazima ujue imeshuka wapi na kulikua na sababu gani imeshuka, then ndio mengine yafuatie.

Quran 2:191 kuelewa hii Aya unatakiwa tuanzie 2:190 mpaka 2:195 na maana ya Aya si kuua kila mtu bali wale tu wanaowafanyia "persecution" waisilamu. Kaangalie tafsiri ya ibn Kathir ama kitabu chochote kikubwa.

Quran 3 151 sijaelewa hata vinahusiana nini Na tunachoongea hapa.

Mwisho wa siku hao wakristo wa middle East wapo na waisilamu wenzao, hawayaoni wala kusikiliza propaganda za west, nyie ambao mpo hupu hamjui lolote mpo busy kuwasemea kwa Vitu hata msivyo vijua.
 
Hapana wewe ndyo ufahamu wako ni mdogo; wewe haujiulizi kwanini kila nchi ambako Waislam wanaoshika dini kweli kweli kunakuwa na ukosefu wa amani?

Hii ni kwa sababu ya kitabu chenu Cha KISHETANI, Quran


Nyinyi Waislam wote kwa MBELE mmetanguliza Tasbihi zenu kumbe Nyumba mmeshikilia majibisu ya kuchinja wenzenu
 
Niambie nchi ya wakristo iliyosalama kwa waislam.

01.Agust 2016-Imam na maamuma wake waliuliwa kwa risasi new York marekani

02.December 2016-Jamaa mwenye miaka 30 aliingia msikitini na kuanza kuwashambulia waislam waliokua wanafturu.Hii imetokea Switzerland

03.January 2017-Jamaa anaeitwa Alexander Bissonette aliua waislam huko canada

04.June 2017-jamaa mwenye miaka 48 aliwagonga kwa makusudi waislam kwa kupeleka gari msikitini.

HII NI KWA UCHACHE TU MATUKIO NI MENGI EXCLUDED USHENZI WA WAISRAEL
 
Mbona unaleta mambo ya kufikirika sana.Kuna mtu namfaham ni mkristo na yupo saudia anafanya kaz ni dokta na sio yey pekee wapo wengii wasio waislam hata kwenye mpira lini umesikia ubaguzi kwa wachezaji kulinganisha na ligi za ulaya.
 

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulu​

 
Hizo ndizo lugha za MIKAFIRI , ni kutukana watu tu
MAKAFIRI ni wale wasioamini Mungu wa kweli, eg wapagani, wafuasi wa dini za uongo, nk..

Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Yani unauchukia uislam kisa waislam πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona unaleta mambo ya kufikirika sana.Kuna mtu namfaham ni mkristo na yupo saudia anafanya kaz ni dokta na sio yey pekee wapo wengii wasio waislam hata kwenye mpira lini umesikia ubaguzi kwa wachezaji kulinganisha na ligi za ulaya.
Usibishe mkuu..
Angalia hapo chini nduguyo katika imani ameweka andiko la kibaguzi kutoka ndani ya koran

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulu​

 
Unautenganishi vipi uislam na uarabu wakati utamaduni wa Kiislam umejengwa katika misingi ya kiarabu? Hakuna uislamnbila ya uarabu, waarabu ndiyo wamiliki halali wa uislam
Hata Uislam unatambua hivyo na ndiyo maana uislam unau promote uarabu pale unaposema Kiarabu ndiyo lugha Peponi.
Uislam ni project ya mwarabu.
Ni kama Mmasai na lubega, au mchaga na mbege au mzaramo na ngoma au CCM na Rushwa na ufisadi
 
Nimeanin uislam ndio dini ya haki wallah.Sijui ni kwa nin watu hufikia mpaka hatua ya kupotosha πŸ˜‚πŸ˜‚.

NOTE:Uislam huwez kuuelewa kupitia vijiweni nenda kausome uislam ukiwa umetulia uko na akili zako timamu unless utapotea
Mwanzo nchi za wazungu waliwaza kama wewe wakawakaribisha kwa bashasha wahamiaji waarabu na dini yao. Sasa wameshtuka, wanajuta. Hawawataki tena..

View: https://twitter.com/AzzatAlsaalem/status/1754867942586487291?t=gDiP33nfouzFhk3XxWsUHg&s=19
 
Akili ndogo zinashida sana.....Niambie ni lini ulisikia au kuona warabu wakifanya hijja kabla ya uislam kuelekeza.

Niambie ni lini warabu walifanyiana usawa na haki kabla uislam haujaelekeza.

Niambie ni lini ulisikia au kuona warabu wanafunga na kusali kabla ya uislam kuelekeza.
 
Usibishe mkuu..
Angalia hapo chini nduguyo katika imani ameweka andiko la kibaguzi kutoka ndani ya koran
Badala ya wajinga kupungua maajabu ni mnaongezeka tena mko na confidence hatar πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uislam umejengwa katika misingi ya waarabu. Bila ya uarabu hakuna uislam na mwarabu ndiye mlinzi na mfadhili mkuu wa uislam...Mwarabu anaulinda na kuufadhili kwa nguvu zote sababu uislam ni alama yake, ni utamaduni wake.
Bila ya Waarabu uislam unakufa. Chukua hilo ukae nalo, hutaki unaacha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…