Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Kwani hicho ulichokiandika ulikiokota kitabu gani cha kiislamu ??
Sio lazima kitoke kitabibu, tumeona kuanzia Al Qaeda,Isis ,boko haram na wengineo wakitumia Allahu Akbar baada ya kufanya matendo yao ya kigaidi. Jambo hilo linafanya watu waamini kwamba uislam na ugaidi ni pande mbili za kwenye sarafu 1.
 
Mwarabu nauislamu ni masega na asali.
Chuki sisi waislmu ndio tunayo dhidi ya wengine kwa kuwaita MAKAFIRI.
Sisindio tunawataka intifada na kubadili watu wote wawe waislamu.

Sio lazima kitoke kitabibu, tumeona kuanzia Al Qaeda,Isis ,boko haram na wengineo wakitumia Allahu Akbar baada ya kufanya matendo yao ya kigaidi. Jambo hilo linafanya watu waamini kwamba uislam na ugaidi ni pande mbili za kwenye sarafu 1.

Unajuwaje ikiwa hao wanao sema Allahu Akbar si wakristo au wayahudi au wazungu , Ni kama wewe unavyoandika hapa Allahu akbar kwani wewe ni muislamu ??
 
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
Uisilamu auwezi kupendwa na watu sababu unapinga miungu yao mfano wakirito wanamuabu yesu ambaye ni mwana wa mariamu wakiambiwa wanajenga bifu hacha wachukia tu lakini ukweli tutausema tu hata waindu awataki kuambiwa kuwa wanaabudu ng,ombe
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
Chuki inaliopo sio hiyo bhana mbona kaburu anawabagua watu weusi mpaka kesho na kuwaua hivyo hivyo kwa wazungu,tatizo lilipo dini ya uisilamu inaweka wazi imani zote lizopo duniani mfano nyiyi wagaratia amtaki kuambiwa ukweli kuwa mnae muabudu sio mungu bali ni mwana wa mariamu ni kiumbe kama nyiyi hapa ndipo chuki ilipo bhana usizunguke ukweli
 
Chuki au ubaguzi dhidi ya Waislamu mara nyingine unaweza kutokana na kutokuelewa na miseducation, pamoja na sababu nyingine kama vile vyombo vya habari, matukio ya kihistoria, na hali ya kisiasa. Ni muhimu kutambua kwamba kuenea kwa maoni hasi au chuki dhidi ya jamii fulani haikubaliki na inakwenda kinyume na misingi ya haki za binadamu na utofauti wa tamaduni na dini.

Hapa kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia chuki dhidi ya Waislamu:

1. Ubaguzi wa Kidini:
- Baadhi ya watu wanaweza kuwa na upendeleo au hata chuki dhidi ya dini tofauti, na hivyo wanaweza kuwa na maoni hasi kuhusu Waislamu kwa msingi wa dini yao.

2. Ubaguzi wa Kikabila na Kitamaduni:
- Waislamu wengi wanatoka katika jamii tofauti na za kitamaduni, ikiwa ni pamoja na Waarabu. Ubaguzi wa kikabila au kitamaduni unaweza kuchangia maoni hasi.

3. Ugaidi na Vyombo vya Habari:
- Matukio ya kigaidi yanayofanywa na makundi fulani yanaweza kutoa taswira hasi ya Uislamu kwa jumla. Vyombo vya habari mara nyingine vinaweza kuchochea hofu na chuki kwa kuripoti matukio haya bila kuzingatia muktadha kamili.

4. Ukosefu wa Maarifa:
- Kutokuelewa kuhusu imani za Kiislamu na tamaduni za Waislamu kunaweza kusababisha maoni potofu au ya kupotoshwa.

5. Mzungumzaji wa Kujitenga (Othering):
- Mara nyingine, watu wanaweza kuhisi kutengwa au kuwaona Waislamu kama "wengine," ambao ni tofauti nao. Hali hii inaweza kuchangia kutoelewa na kuleta chuki.

Ni muhimu kukuza elimu, kuelimisha, na kufanya mazungumzo yenye heshima kati ya jamii na dini tofauti ili kupunguza chuki na kusaidia watu kuelewa tofauti zilizopo na kuheshimu utofauti wa tamaduni na dini. Kuelimisha jamii juu ya ukweli wa dini mbalimbali na kukuza mazungumzo ya kuheshimiana ni njia ya kujenga jamii inayokubali na kuheshimu utofauti.
Usizunguke ukweli bhana chanzo cha chuki ni waisilamu kuwaita wakirito makafiri,ukafiri huo unao sababishwa na kumuabudu yesu badala ya Mungu muumba chuki inaanzia hapo ndugu
 
Unaochukiwa ni uislamu, hebu waza unataka ili ule nyama mpaka uchinje wewe usiyochinja wewe huli utapendekekaje hapo? wewe wa kwanza kuwaita wenzio makafiri kisa hawafuati Iman yako hapo unataka upendeke?? wenye dhihaka kwa wengine ni hao walioshika dini ya kiislamu, tayari wenye dini yao wanasema dini ya haki ni uislamu tu sasa huku si kujiinua na kuwaona wengine dhaifu?? nani anapenda kuonekana dhaifu? na katika mazingira hayo unataka upendeke kwa sababu zipi???
 
Uislamu wenyewe umeagiza wachinjwe wote wasioamini katika hicho kitabu cha mwarabu, halafu wewe unalalamika chuki....
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
Tatizo wakirisito hawataki kuambiwa ukweli mkiitwa makafiri mnachukia lakini ukweli nyiyi ni makafiri sababu yenu kuitwa makafiri ni kumuabudu yesu badala ya mungu ndio chanzo cha chuki ndugu
 
Chuki inaliopo sio hiyo bhana mbona kaburu anawabagua watu weusi mpaka kesho na kuwaua hivyo hivyo kwa wazungu,tatizo lilipo dini ya uisilamu inaweka wazi imani zote lizopo duniani mfano nyiyi wagaratia amtaki kuambiwa ukweli kuwa mnae muabudu sio mungu bali ni mwana wa mariamu ni kiumbe kama nyiyi hapa ndipo chuki ilipo bhana usizunguke ukweli
wewe umejuaje kama Wagalatia wanakuabudu Mungu sio wa ukweli ili hali kila mtu anafuata kitabu chake?? huo uhakika umeutoa wapi??? hapo ndipo chuki inapozaliwa
 
Tatizo wakirisito hawataki kuambiwa ukweli mkiitwa makafiri mnachukia lakini ukweli nyiyi ni makafiri sababu yenu kuitwa makafiri ni kumuabudu yesu badala ya mungu ndio chanzo cha chuki ndugu
kwahiyo wakiwa hawataki ndio wachinjwe??
 
Unajuwaje ikiwa hao wanao sema Allahu Akbar si wakristo au wayahudi au wazungu , Ni kama wewe unavyoandika hapa Allahu akbar kwani wewe ni muislamu ??
Mimi ni muislamu lakini sijawahi kuona mkristo anachinja mtu huku anaimba alah akbar!

Sijawahi kuona mkristo anachinja mu eti kwakuwa amekataa kuwa mkristo, wao wanakuhubiria habari za Yesu wa Israel ukikataa wanakuacha, sisi ndio tunalazimishia watu wawe waislamu.
 
Kwani lugha ya Yesu unaijua wewe ??

This article is about the theory that the New Testament was originally composed in Aramaic

matokeo ya kutokifahamu ki aramaic ni haya

O = omitted in main text.

B = bracketed in the main text – The translation team and most biblical scholars today believe were not part of the original text. However, these texts have been retained in brackets in the NASB and the Holman CSB.[147]

F = omission noted in the footnote.


Bible translation
PassageNIVNASBNKJVNRSVESVHCSBNETNLTWEBREBAMPCEBCJBCEVERVGWEXBGNTKnoxLEBMSGMounceNIrVNLVOJBNWT
Matthew 9:34F
Matthew 12:47FFFFFOFFF
Matthew 17:21FBFOFBOFFFOOOFOOOOO
Matthew 18:11FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Matthew 21:44FFBFFFOFFFFO
Matthew 23:14FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Mark 7:16FBFOFBOOFFOOOFFOOOOO
Mark 9:44FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 9:46FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 11:26FBFOFBOOFOOOOFOOOOBO
Mark 15:28FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Mark 16:9–20BBFFBBBFBFFBFBBBO
Luke 17:36FBFOFBOOFFFOOOOFOOOOO
Luke 22:20FFFFO
Luke 22:43BFFBBFFFFB+F
Luke 22:44BFFBBFFFFFB+F
Luke 23:17FBFOFBOOFFOOFOOFOOOOBO
Luke 24:12FFOF
Luke 24:40FFF
John 5:4FBFOFBOOFOOOOFOOOOBBO
John 7:53–8:11BFFBBBFBB+FO
Acts 8:37FBFFFBOOFFFOOOOFOOOOBBO
Acts 15:34FBFOFOOOFFFOOOOFOOOOBO
Acts 24:7FBFOFBOOFFOOOOOOOBO
Acts 28:29FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Romans 16:24FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO


Lugha ya yesu siijui na wala hainihusu.

Mimi sio mfuasi wa yesu. Mimi sio mkristo.

Usihamishe hoja.. jibu hoja kuhusu mstari wa Quran niliokuwekea. Kwamba Uislamu ni dini ya waarabu

Usijifiche kwenye kichaka cha yesu ukristo maana mimi sio mkristo.

Sisi wamasai hatunaga ujinga wa kuabudu dini za kuletewa na wakoloni
 
Lugha ya yesu siijui na wala hainihusu.

Mimi sio mfuasi wa yesu. Mimi sio mkristo.

Usihamishe hoja.. jibu hoja kuhusu mstari wa Quran niliokuwekea.

Usijifiche kwenye kichaka cha yesu ukristo maana mimi sio mkristo.

Sisi wamasai hatunaga ujinga wa kuabudu dini za kuletewa na wakoloni

yaani kama vile hakuna mmasai mwislamu wala mkristo ??
 
Kwani neno kafiri ni baya ?? kafiri ni mtu anayekufuru , na nyinyi kufuru yenu kubwa ni kumshirikisha Mungu . Yaani kiumbe chake kilichokunya na kutawazishwa mavi mnakipa cheo cha Mungu . Dhambi hiyo Mungu haisamehe kabisa kaweka wazi
Mfano mimi nikisema Mungu ni Jua wewe Kwanini unichukie?
Au unipe Jina la ajabu?
Unaumia nini nikikosea? Si uniache nikaungue mwenyewe.
 
Mfano mimi nikisema Mungu ni Jua wewe Kwanini unichukie?
Au unipe Jina la ajabu?
Unaumia nini nikikosea? Si uniache nikaungue mwenyewe.

Hakuna mtu atakuuliza ila cheo chako kitakuwa palepale ni KAFIRI yaani umemkufuru Mungu
 
yaani kama vile hakuna mmasai mwislamu wala mkristo ??

Kuwepo watakuwepo ila wachachs sana na mimi sio mmojawao. Mimi sio mkristo na wala sio muislamu.

Wamasai wengi bado tuna misingi yetu ya kuabudu kimila
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom