Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
WAJINGA WANAFIKIRI WAARABU NDO UISLAMU.
 
Wakristo Nchi za kiarabu wamelindwa hadi leo, nani anawaua hawa Wakristo? Si ni Israel? Hutaona si humu wala Nchi za Magharibi wakimkemea Israel na washirika wake, Bali ni propaganda kwenda mbele.

1. Egpty, Kuna wakristo wengi sana wa Copts na wana nguvu Egpty na wanamiliki uchumi mkubwa tu, mfano ni Familia ya Sawaris ambayo ndio familia Tajiri zaidi Africa, na katika Familia Tajiri Duniani.

2. Lebanon Nchi nyengine yenye Wakristo wengi ya kiarabu, wana Katiba zao wenyewe namba ya kuunda Serikali ya mseto na waisilamu, For years wanauliwa na West hao wakristo na kupelekea wakristo wa jiunge na Hezbollah, Syria na Makundi mengine ya kiisilamu.

3. Palestina Nchi nyengine ilikuwa na Wakristo wengi, kuanzia miaka hio ya Crusaders west wanaua Wakristo hilo eneo, ila waisilamu ndio wakawatetea na hadi kulinda makanisa yao. Mpaka leo wakristo na waisilamu wana coexist kwa amani tu.

4. Iraq wakati wa Saddam wakristo walikua wakiishi kwa amani kabisa, wakapewa vyeo vikubwa vikubwa nini kimetokea baada ya Usa kuvamia? Wanauliwa

5. Syria wana wakristo wa kutosha nao waliishi kwa amani tu mpaka 2011 baada ya Uvamizi wa Usa Assyrian Christians wanauliwa kama kuku.

Tafuta source za Wakristo wa Middle East na usisubirie vyombo vya Magharibi vikuambie stori za kutunga, waarabu wengi wakristo na waisilamu zinaenda, na movement zote za Pan Arabs miaka kama 70 iliopita utaona wakristo walikuwa bega kwa bega na waisilamu.

Sehemu kama Oman kuna hadi Indigenous wahindu ambao wana Matemple yao na wanapewa hadi vyeo vya usheikh wanapata haki zote kama Raia wengine.
Wewe hizi unazoandika ni historia.
 
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
Hakuna dini ya ovyo duniani kama wavaa vipedo
 
Dini ni moja tu hakuna kitabu kilisema hiyo wanayoifuata ni dini isipokuwa kitabu cha Quran tu , kimeweka wazi
Kitabu hicho si kimeandikwa na watu tu!! Au ndio unataka kuleta hadithi ya kwamba "Kimeshushwa" hakuna kitu kama kushushwa.
 
Sisi wakristo hautuchukii dini ya ntu ila wewe nyie mnajihisi tu namnatuchukia mnatuita makafiri kwenye dini yetu hatuna majin ya kuwaita watu wenye dini zao majina ya ajabu ndio maana nchi yetu ni haina migogoro tupo peace and love .

Mie nawaogopa tu maana nyie mnatumia majini na majini sio vitu vyema ni vitu ambavyo dini yetu tunawakemea
majini umeyakuta wapi?
 
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
shida kubwa ni mapokezi yanayotoka kwa viongozi wao maana hii chuki haikuanza leo ni muda sana ila miaka ya nyuma ilikuwa ni siri kubwa sana ila kwa sasa wameweka wazi chuki zao
 
Dini ni moja tu hakuna kitabu kilisema hiyo wanayoifuata ni dini isipokuwa kitabu cha Quran tu , kimeweka wazi
Na Wakristo hawafuati Dini. Wanamfuata Kristo. Ndo tofauti yake. Na Mungu ni tofauti. Quran hiyo hiyo Muhamad anasema anapokufa hajui anaenda wapi na hajui atafanywa nini kutokana na maisha aliyoishi. Vuta jamvi hapa vagina tukae mi ndo topics nazipenda hizi. Kuzungumzia Uislamu na Ukristo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom