Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
Ukitaka kujua ubaya wa uislamu na waislam, badili dini uwe mkristo, then nenda nchi za kiislamu uombe kazi kwa majina ya kikristo au uende kuhubiri ukristo! Hapo utajua uislam n ugaidi! Ukitoka salama uje utupe taarifa! Kuna mataifa mengi ya kiarabu na kiislam ambapo kutangaza ukristo ni uhaini, na unaweza katwa kichwa na watu wakiitikia Allah akbar! Huo ndio uislamu tuache kumung'unya maneno!
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
Back to square one hakuna nchi za kiislamu kwa sasa , kuna mataifa ya kiarabu taifa la mwisho la kiislamu lilikuwa ottoman empire .

Unaposema mataifa ya kiislamu means nchi inaongozwa kwa kufuata quran na sunna na kiongozi wa juu kabisa wa taifa la kiislamu anaitwa khalifa na si wafalme au maraisi na si nje ya hapo. nikikuambia unitajie nchi yoyote unayoita za kiislamu inayofanana na maelezo hapo juu hautopata hata moja.

Kipindi cha dola ya kiislamu watu wa dini nyingine waliishi vizuri tu na walikuwa wakilipia jizya mara moja tu kwa mwaka tena ni kwa wanaume ambayo hawakutaka kuwa enroled pindi vita vikitokea .

So hizi unazoona kwa sasa si nchi za kiislamu na pia nchi ya kikristo duniani ni moja tu roma ya italia nyingine zilizobaki ni either za kidemokrasia au zinaongozwa kifalme.
 
Mpwa tutafute pesa tafadhali, hizi dini ni biashara za Watu, tafuta pesa safi kwa Njia Safi, Saidia wahitaji, shukrani kwa kila Jambo. Utaishi kwa Amani Sana.
Biashara kumnufaisha nan
 
Mwezi November 2023. Saudia Rabia ilitoa nafasi za kazi 500 kwa manesi wa TANZANIA
Hili lipo kisiasa zaidi.

Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na nchi mbili za kiarabu kwenye maswala ya ajira.

Hatujui condition ya mkataba inasemaje

Sisi tumetoa manesi 500 kupeleka Saudi Arabia hatujui Saudi Arabia wao wametoa watu wangapi kuja kwetu tena hata idara waliyoifikia bado hatujui.

Na ukumbuke matukio yote yaliyokuwa yana trend msimu huo katika duru ya siasa mjadala mkuu ulikuwa ni uuzwaji wa bandari.

Vipi kama seke seke la bandari na kuhamishwa kwa wamasai ndio ilikuwa exchange kwa ajira 500?

Tuachane na hilo ambalo ni probability..

Lakini tuliambiwa hao manesi 500 wataajiriwa mwezi wa kwanza na serikali ya Saud Arabia.

Saizi ni mwezi wa pili huu, vipi hiyo update ya hao waajiriwa 500 umeipata?

Katika hao waajiriwa 500 kuna idadi ngapi ya watu ambao sio waislamu?

Unaweza ku picture huko Saudi Arabia wakienda wanaweza kuwa treated equal?
 
Kwani lugha ya Yesu unaijua wewe ??

This article is about the theory that the New Testament was originally composed in Aramaic

matokeo ya kutokifahamu ki aramaic ni haya

O = omitted in main text.

B = bracketed in the main text – The translation team and most biblical scholars today believe were not part of the original text. However, these texts have been retained in brackets in the NASB and the Holman CSB.[147]

F = omission noted in the footnote.

Bible translation
PassageNIVNASBNKJVNRSVESVHCSBNETNLTWEBREBAMPCEBCJBCEVERVGWEXBGNTKnoxLEBMSGMounceNIrVNLVOJBNWT
Matthew 9:34F
Matthew 12:47FFFFFOFFF
Matthew 17:21FBFOFBOFFFOOOFOOOOO
Matthew 18:11FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Matthew 21:44FFBFFFOFFFFO
Matthew 23:14FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO
Mark 7:16FBFOFBOOFFOOOFFOOOOO
Mark 9:44FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 9:46FBFOFBOOFOOOOOFOOOOO
Mark 11:26FBFOFBOOFOOOOFOOOOBO
Mark 15:28FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Mark 16:9–20BBFFBBBFBFFBFBBBO
Luke 17:36FBFOFBOOFFFOOOOFOOOOO
Luke 22:20FFFFO
Luke 22:43BFFBBFFFFB+F
Luke 22:44BFFBBFFFFFB+F
Luke 23:17FBFOFBOOFFOOFOOFOOOOBO
Luke 24:12FFOF
Luke 24:40FFF
John 5:4FBFOFBOOFOOOOFOOOOBBO
John 7:53–8:11BFFBBBFBB+FO
Acts 8:37FBFFFBOOFFFOOOOFOOOOBBO
Acts 15:34FBFOFOOOFFFOOOOFOOOOBO
Acts 24:7FBFOFBOOFFOOOOOOOBO
Acts 28:29FBFOFBOOFFOOOOFOOOOBO
Romans 16:24FBFOFBOOFFOOOOFOOOOO

Hafs quran vs Warsh quran kuna hilo tatizo pia.
 
Ukitaka kujua ubaya wa uislamu na waislam, badili dini uwe mkristo, then nenda nchi za kiislamu uombe kazi kwa majina ya kikristo au uende kuhubiri ukristo! Hapo utajua uislam n ugaidi! Ukitoka salama uje utupe taarifa! Kuna mataifa mengi ya kiarabu na kiislam ambapo kutangaza ukristo ni uhaini, na unaweza katwa kichwa na watu wakiitikia Allah akbar! Huo ndio uislamu tuache kumung'unya maneno!
Muulize Mwaipopo alivyofanywa na wakristo baada kubadilisha dini hapa Afrika, Tanganyika
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Kwanza huu uzi wako mbona haupo tena ?? uliufuta au umefutwa ??

Biblia inasema Mungu alipigana mweleka na binadamu aliemuumba (Yacob) usiku mzima na akazidiwa nguvu​

Pia alimpa kitabu kibabu ambacho kilibaka mtoto wa miaka tisa!! ( Sio kwa ubaya ukilumbua mtoto ambae hajatimiza umri wa kujitambua umebaka) kisha akatengeneza vijito vya pombe na mabikira 72 ili waja wake waloweke😂😂
 
Na Wakristo hawafuati Dini. Wanamfuata Kristo. Ndo tofauti yake. Na Mungu ni tofauti. Quran hiyo hiyo Muhamad anasema anapokufa hajui anaenda wapi na hajui atafanywa nini kutokana na maisha aliyoishi. Vuta jamvi hapa vagina tukae mi ndo topics nazipenda hizi. Kuzungumzia Uislamu na Ukristo.

Kristo wako wengi kwenye biblia , hata nguzo zikiitwa kristo au yule slipokufa alienda hell
 
Pia alimpa kitabu kibabu ambacho kilibaka mtoto wa miaka tisa!! ( Sio kwa ubaya ukilumbua mtoto ambae hajatimiza umri wa kujitambua umebaka) kisha akatengeneza vijito vya pombe na mabikira 72 ili waja wake waloweke😂😂
Hapana ni yule alimpa mimba mamaye wa miaka 12 akajizaa
 
  • Masikitiko
Reactions: 511
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
hii dini yao hufundisha kabisa kubagua wengine na ni thwabu kubagua na kuua kafir, mtu asye muislam.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
Kwa sababu huwezi kutenganisha waarabu na waislam
 
Sisi wakristo hautuchukii dini ya ntu ila wewe nyie mnajihisi tu namnatuchukia mnatuita makafiri kwenye dini yetu hatuna majin ya kuwaita watu wenye dini zao majina ya ajabu ndio maana nchi yetu ni haina migogoro tupo peace and love .

Mie nawaogopa tu maana nyie mnatumia majini na majini sio vitu vyema ni vitu ambavyo dini yetu tunawakemea
Em elezea zaidi hapo kwenye matumizi ya majini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom