Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.
Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?
Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
Wakristo Nchi za kiarabu wamelindwa hadi leo, nani anawaua hawa Wakristo? Si ni Israel? Hutaona si humu wala Nchi za Magharibi wakimkemea Israel na washirika wake, Bali ni propaganda kwenda mbele.
1. Egpty, Kuna wakristo wengi sana wa Copts na wana nguvu Egpty na wanamiliki uchumi mkubwa tu, mfano ni Familia ya Sawaris ambayo ndio familia Tajiri zaidi Africa, na katika Familia Tajiri Duniani.
2. Lebanon Nchi nyengine yenye Wakristo wengi ya kiarabu, wana Katiba zao wenyewe namba ya kuunda Serikali ya mseto na waisilamu, For years wanauliwa na West hao wakristo na kupelekea wakristo wa jiunge na Hezbollah, Syria na Makundi mengine ya kiisilamu.
3. Palestina Nchi nyengine ilikuwa na Wakristo wengi, kuanzia miaka hio ya Crusaders west wanaua Wakristo hilo eneo, ila waisilamu ndio wakawatetea na hadi kulinda makanisa yao. Mpaka leo wakristo na waisilamu wana coexist kwa amani tu.
4. Iraq wakati wa Saddam wakristo walikua wakiishi kwa amani kabisa, wakapewa vyeo vikubwa vikubwa nini kimetokea baada ya Usa kuvamia? Wanauliwa
5. Syria wana wakristo wa kutosha nao waliishi kwa amani tu mpaka 2011 baada ya Uvamizi wa Usa Assyrian Christians wanauliwa kama kuku.
Tafuta source za Wakristo wa Middle East na usisubirie vyombo vya Magharibi vikuambie stori za kutunga, waarabu wengi wakristo na waisilamu zinaenda, na movement zote za Pan Arabs miaka kama 70 iliopita utaona wakristo walikuwa bega kwa bega na waisilamu.
Sehemu kama Oman kuna hadi Indigenous wahindu ambao wana Matemple yao na wanapewa hadi vyeo vya usheikh wanapata haki zote kama Raia wengine.