Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

Ni:-
1. Ni nzuri kimuonekano/Fashion

2. Ukiwa ndani hutazisikia kelele za kwanye paa e.g. mtanuko (expansions na contractions) yoyote kwenye paa hutaisikia japo iko, kelele za mvua na radi

3. Ni rahisi kupita ili kufanya shughuli mbalimbali ndani ya paa e.g. wiring, kudhibiti wadudu/wanyama e.g. popo, nyuki n.k.

4.Joto litokanalo na bati linadhibitiwa(Control) i.e. halifiki chini wanakoishi watu kutokana na umbali uliopo kati ya ceiling na bati.

5.Paa haliezuliwi kirahisi na upepo mkali/kimbunga
Ni:

1. Matumizi mabovu ya rasilimali fedha (it is uneconomical) kwani unatumia bati nyingi, mbao nyingi na misumari kgs.nyingi bila sababu za kimsingi.

2. Kutokana na mteremko mkali (Slope/angle of inclination), maji yatiririkayo kutoka kwenye paa e.g. ya mvua huwa na kasi kubwa(speed) na hivyo huchimba sana ardhi-mzunguko wa nyumba na wakati mwingine husababisha uharibifu mkubwa katika mazingira yazungukayo nyumba hiyo.

3. Ni vigumu au huwa ni changamoto kubwa kufanya ukarabati juu ya paa e.g. roof filling au kufagia (Usafi) wa takataka/vumbi ziletwazo na upepo na kunasa juu kwenye paa.

4. Paa hilo likishika moto kwa kweli hakuna rangi utaacha kuona kwani kuna fuel(Mbao/kuni) za kutosha na sio rahisi kupanda huko kama wewe sio jasiri au mtaalam ili ukapambane na moto kichaa utakaokuwepo.

-Kwa maoni yangu wewe Lycaon pictus(mbwa mwitu), akili za kupewa ongezea na za kwako. Je, katika mazingira unayoishi ni lazima paa la nyumba yako liwe hivyo?

(Unaiga tu kama fashion ili umpendezeshe nani), Je utamudu gharama husika bila kuathiri/kukwamisha shughuli zingine za kimaendeleo za familia yako?

Ni hayo tu. (Samahani lakini kama nimekuudhi hapo juu kwa kulitaja jina lako kwa kiswahili/kibongo)
 
Ni:-
1. Ni nzuri kimuonekano/Fashion
2. Ukiwa ndani hutazisikia kelele za kwanye paa e.g. mtanuko (expansions na contractions) yoyote kwenye paa hutaisikia japo iko, kelele za mvua na radi
3. Ni rahisi kupita ili kufanya shughuli mbalimbali ndani ya paa e.g. wiring, kudhibiti wadudu/wanyama e.g. popo, nyuki n.k.
4.Joto litokanalo na bati linadhibitiwa(Control) i.e. halifiki chini wanakoishi watu kutokana na umbali uliopo kati ya ceiling na bati
5.Paa haliezuliwi kirahisi na upepo mkali/kimbunga
Ni:-
1. Matumizi mabovu ya rasilimali fedha (it is uneconomical) kwani unatumia bati nyingi, mbao nyingi na misumari kgs.nyingi bila sababu za kimsingi
2. Kutokana na mteremko mkali (Slope/angle of inclination), maji yatiririkayo kutoka kwenye paa e.g. ya mvua huwa na kasi kubwa(speed) na hivyo huchimba sana ardhi-mzunguko wa nyumba na wakati mwingine husababisha uharibifu mkubwa katika mazingira yazungukayo nyumba hiyo.
3. Ni vigumu au huwa ni changamoto kubwa kufanya ukarabati juu ya paa e.g. roof filling au kufagia (Usafi) wa takataka/vumbi ziletwazo na upepo na kunasa juu kwenye paa
##4**Paa hilo likishika moto kwa kweli hakuna rangi utaacha kuona kwani kuna fuel(Mbao/kuni) za kutosha na sio rahisi kupanda huko kama wewe sio jasiri au mtaalam ili ukapambane na moto kichaa utakaokuwepo.
-Kwa maoni yangu wewe Lycaon pictus(mbwa mwitu), akili za kupewa ongezea na za kwako. Je, katika mazingira unayoishi ni lazima paa la nyumba yako liwe hivyo? (Unaiga tu kama fashion ili umpendezeshe nani), Je utamudu gharama husika bila kuathiri/kukwamisha shughuli zingine za kimaendeleo za familia yako?
Ni hayo tu. (Samahani lakini kama nimekuudhi hapo juu kwa kulitaja jina lako kwa kiswahili/kibongo)
Hapana mkuu. Umeongea vema na points nzuri za kuelimisha. Shukrani.
 
Wengi wanajenga kwa kuangalia uzuri wa macho na kufanya kipendacho roho ndo maana unazikuta ata sehemu za baridi ,Ila upande wakiufundi zaidi ni kupunguza joto kwa kuongeza air circulation pia hata Kama bati litakua limetoboka ni vigumu maji kupenya yatatiririka tu sababu slope ni kubwa
 
Ndiyo urefu wa paa uzidi urefu wa kuta?
 
Wengine huko kwenye paa ni km nyumba ya juu.kuna uwezekano wa kuweka vyumba vya kulala au stoo ya kuhifadhia vitu hivyo km eneo ni dogo anapata vyumba vya ziada.
Pia maji yanakuwa na Kasi hivyo ni vigumu kuvuja vuja au bati kushikia kutu haraka au kuchakaa kwa bati..pia ujenzi huu uambatana na gata za maji za kuvunia maji ya mvua na kuzuia mmomonyoko wa udogo kuzunguka nyumba kutokana na maji ya mvua.
Pia inasaidia kupunguza joto kwa maeneo ya joto.
 
Yeah. Wengine huko kwenye paa ni km nyumba ya juu.kuna uwezekano wa kuweka vyumba vya kulala au stoo ya kuhifadhia vitu hivyo km eneo ni dogo anapata vyumba vya ziada.
Hii ni point nzuri sana. Hapo nimejifunza kitu sio vitanda tu vinaweza kuwa double decker, kumbe hata nyumba yaweza kuwa double decker.
 
Hii style tuliiga kutoka nchi zngine ikiwemo SA,
Nyumba zenye paa ndefu hujengwa maeneo yenye barid Kali, na faida yake ni uwezo WA kubalance temperature,
Yaan kipndi Cha bard bas ndan ya nyumba panakua na unafuu kdg, hvohvo wakat WA joto bas haiiruhusu joto na hivyo kubalance temperature,.

Pia co - advantage ni kwamba kuleta muonekano mzur sana,

Wakuu sana. ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? kuna faida gani? standard zinasemaje?
View attachment 2414305
View attachment 2414306

View attachment 2414308
Ev
 
Wakuu sana. ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? kuna faida gani? standard zinasemaje?
View attachment 2414305
View attachment 2414306

View attachment 2414308
Huo ni ushauri wa Kitaalam.

Mimi nilishauriwa kuwa Paa la chini ni British Style ya zamani sana.

Na Paa la juu ni ya kisasa ya French Style.

Eng aliendelea kueleza kuwa King Post ya Paa inatakiwa iwe na urefu sawa na Nusu lipenyo cha Boma la nyumba. Let say kama nyumba ni ya mraba upana 10M ×10M then King post inatakiwa iwe 5metres above. Hii ni kwa mujibu wa vipimo vyao vya researched evidences na sio porojo za mafundi.

Baada ya kunishawishi ilibidi nikubaliane na ushauri wa kitaalam

Hata hivyo kuna ishu ya utashi na mapenzi unaweza kuezeka unavyotaka
 
Nyingi sababu zinakuwa kutoruhusu matope ya maji kukaa hata sekunde ili kupunguza kuntu,kingine hata joto pia linapunguza panakuwa na distance kutoka kweny paa mpaka kweny Gypsum kwa eneo la katikati.
Niliezeka ya kwangu mbele ya majirani. Tayari wawili wamebomoa za kwao wameiga kama yangu.

Yaani aisee jirani akikupigia hii kitu ya kwako ikawa chini inaonekana kama kichuguu tu 🤣🤣
 
Bongo akili finyu, hiyo ni nafasi kabisa ya kuweka vyumba vingine huko juu....

1668380722369.png

1668380823077.png

1668380866264.png
 
Bongo akili finyu, hiyo ni nafasi kabisa ya kuweka vyumba vingine huko juu....

View attachment 2415956
View attachment 2415958
View attachment 2415959
Hilo linawezekana sana sehemu za baridi kali, hata upauaji wake ni tofauti na sisi tunavyofanya. Huwezi kuweka chumba huko juu kwa jiji kama Dar, utakufa kwa joto. Nilikuwa involved kwenye projects za namna hii, its expensive kupaua as kuna materials zinawekwa kabla ya bati kupigwa ili kuzuia either joto, baridi au unyevu unaosababishwa na nyakati tofauti za hali ya hewa.

Sijiu kwa maeneo yenye hali ya hewa nzuri kama Lushoto, huko Njombe, Mufindi...unaweza kuweka kitu kama hiki, otherwise sehemu za joto sio rahisi.
 
Sababu ni chumba cha kulala tu. Usiku kinakuwa cool zaidi ya vyumba vya chini.
 
Back
Top Bottom