Paa likizidi ukuta haipendezi lazima pia uzingaie hiyo. Nyumba iko bondeni then utie paa refu unakuwa kama mwamvuli😆😆Nakataa paa refu kushinda ukuta Wala huwa sio nzuri kimuonekano..
Ukitaka muonekano mzuri paa liwe na urefu pungufu ya ukuta..
Ukuta mita 3 afu paa mita 6 Kuna uzuri gani hapo zaidi ya kuwa Kama kitu kimefunikwa? Shepu ya Uyoga.
Niwekee nyumba yenye paa refu afu tulinganishe na hizi zenye paa la wastani yaani ukuta mrefu kuliko kingpost 👇
Uzuri Ni macho ya mtu,kwangu hiyo Ni mbaya,paa tuu ndio expensive.
Uzuri Ni macho ya mtu,kwangu hiyo Ni mbaya,paa tuu ndio expensive.
Niwe tuu mkweli hizo paa za angle kubwa sizipendi maana hata overhang inakuwa fupi na inafichwa so ukifunga PVC Wala haipebdezi.
Hizi unakuta zina vyumba darini.
Huwa siigi na Wala sina huo ujinga,Mimi fundi namuonesha paa na vipimo ,marufuku kuniletea Mambo yake kwa visingizio vya fashion.Mnazi huo...unazuia joto na nyumba zinapendeza...
Ukikuta mtaa wameezeka hvyo majiran karibia wote..lazima ujipange maana pesa yake si kitoto
Fundi akijenga hivi atabomoa kwa gharama yake.Wakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi?
Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
View attachment 2414305
View attachment 2414306
View attachment 2414308
Hahaa acha kuisema New FB lodge. Ile hata mwenyewe first time kuliona paa lile nilishangaa sanaKuna paa niliiona njia ya pugu mnadani, nikajisemea moyoni labda litakuwa cathedral!
kama unapenda kuona ndege kama sehemu ya utalii, huwa wanazipenda hizo paaHizi unakuta zina vyumba darini.