duuh noma sana ajira nje njeUsidhubutu kuiba au kuhujumu miundombinu ya TANESCO na unapoona viashiria vyovyote tupigie simu mara moja kwa namba zetu 0748550000.
Tunatoa zawadi nono kuanzia Tsh laki moja na kuendelea
Kiasi cha zawadi kinatokana na kiasi cha upotevu kilichookolewa
TANESCO, tupo Kazini
We nilishakuambiaga, ukitaka kujadili na mimi acha kuongea kama roboti au computer programme, ongea kama binadamu mwenye utashi. Sio ku-copy na kupaste majibuUsidhubutu kuiba au kuhujumu miundombinu ya TANESCO na unapoona viashiria vyovyote tupigie simu mara moja kwa namba zetu 0748550000.
Tunatoa zawadi nono kuanzia Tsh laki moja na kuendelea
Kiasi cha zawadi kinatokana na kiasi cha upotevu kilichookolewa
TANESCO, tupo Kazini
Tunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.Nilishawai kuiba umeme miaka miwili mfululizo kwenye mita ya luku. Japo ilikuwa inakera kwa zile kelele za kukujulisha unit zimeisha, lakini umeme haukatiki! Kwa sasa wameshtuka wanaweka mita juu ya nguzo'
Hahahahaha, we jamaa acha mikwara, utampatia wapi, labda atufundishe wanaibaje huo umeme? Si tumeambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake 😂😂😂😂😀Tunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.
Unaweza kunywa maji, kuogea, kunawa mikono, ila umeme kuusogelea tu, sio salama, mbali na kuwa kufanya yote hayo ni wizi.Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
Bila shaka yupo njiani kujakulipa kiasi alichotumia bila kulipia, ndugu huyu inaonyesha ni mtu muungwana sanaTunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.
Kwa hiyo unaouzoefu kuila au, simulizi TU?Ukikamatwa kwenye umeme rushwa unadaiwa kuanzia laki tano kwenda juu (ofisi ya Magomeni) kwenye maji unaanzia elfu ishirini tuu
Gusa unase , gusa unase , gusa unase, tutururuu, tururu, gusa unase🤸Anaetaka kuunganishiwa umeme kwa kuiba units ani PM. Utalipa elfu 2 tu kwa mwezi kwenda kwenye mita yako ya umeme na mfumo wa tanesco hauta detect depletion ya Luku hivyo tumia uwezavyo. NB kununua umeme wa elf 2 kwa mwezi ni lazima ili kuwa deceive TANESCI kuwa ni mnunuaji wa umeme.
Njia hii ni salama na ni bora Kwani Tanesco watajua shida ipo kwenye mita yao. Na ukibadilishiwa mita zoezi zima litakuwa limekufa by Kitengo cha Mchongo na connection
Kwa majibu haya, mwizi mwenzio FRANCIS DA DON sidhani kama atakuwa na swali jingineUmeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
[emoji23][emoji23][emoji23] na mkwara juuTunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.
Ti tah titi tah ti tah titi tah📣📣📣📣📣📣🥁🥁🎺Gusa unase , gusa unase , gusa unase, tutururuu, tururu, gusa unase🤸
Hatujaweka mtego bhana..., PM tu ☺️Ti tah titi tah ti tah titi tah📣📣📣📣📣📣🥁🥁🎺
hahahahaha mkuu mmeanza kucomment siku hizi!? jiandaeni kwa changamoto za watanzania angalia tu usiitupe simu ya ofisi kupitia dirishani hapo makao makuu..Usidhubutu kuiba au kuhujumu miundombinu ya TANESCO na unapoona viashiria vyovyote tupigie simu mara moja kwa namba zetu 0748550000.
Tunatoa zawadi nono kuanzia Tsh laki moja na kuendelea
Kiasi cha zawadi kinatokana na kiasi cha upotevu kilichookolewa
TANESCO, tupo Kazini
hahahaahahaahahaahah dah..Tunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.
Wee bwana robot hivi unataka kusema hujawai kujichanganya,ukapita baadhi ya nyuzi ukakuta mada imekunogea basi ukajitoa ufahamu ukashusha coment bila kujua id uliyonayo vp haijawai kukutokea hiyi maana ule uzi pendwa bila kuacha komment si kitu rahisiTunashukuru kukiri kosa tafadhali lipia kiasi husika kwa kujisalimisha TANESCO kwa kuwa hakuna mwizi anayeweza kukimbia mifumo yetu ipo imara.
Hakuna robot anayeweza kujibu kama tunavyojibu, tunawasihi kudhamini na kujali kazi nzuri tunayofanya.Tumekuwa active muda wote kitu ambacho wapo wanaona mafanufaa ya sisi kuwa hapa.Wee bwana robot hivi unataka kusema hujawai kujichanganya,ukapita baadhi ya nyuzi ukakuta mada imekunogea basi ukajisajosahau ukashusha coment bila kujua id uliyonayo vp haijawai kukutokea hiyi