Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Sawa mkuu[emoji120][emoji120] sikujua hiloHakuna robot anayeweza kujibu kama tunavyojibu, tunawasihi kudhamini na kujali kazi nzuri tunayofanya.Tumekuwa active muda wote kitu ambacho wapo wanaona mafanufaa ya sisi kuwa hapa.
Tupo tayari kulinda wateja wetuSawa mkuu[emoji120][emoji120] sikujua hilo
nitakuja pm nimfichue jamaa yangu ila iwe siri sio niwatajia mseme kasema fulani maana. Ni mtu mzito lolote laweza tokea
Acha usnich Arif,Sawa mkuu[emoji120][emoji120] sikujua hilo
nitakuja pm nimfichue jamaa yangu ila iwe siri sio niwatajia mseme kasema fulani maana. Ni mtu mzito lolote laweza tokea
Choma, choma, choma, chomaaaaa😄Acha usnich Arif,
Ngoja na wewe tukakusemee Kwa Joyce Banda Lile deal lako Haram ulilopiga enzi zile kule mzuzu
Eboooo!
(Joking)
😂😂😂😂🔥
haahaha leo mmeamua..Hakuna robot anayeweza kujibu kama tunavyojibu, tunawasihi kudhamini na kujali kazi nzuri tunayofanya.Tumekuwa active muda wote kitu ambacho wapo wanaona mafanufaa ya sisi kuwa hapa.
Kuiba ni kuiba tu vyote unapata dhambiHivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
akimwaga mboga Mimi nasepa na ugali kwani bamia na nyanyachungu za jero si zinatosha kutengeneza mboga nyingine?Choma, choma, choma, chomaaaaa😄
Basi mkuu,nimeghahiri tuendelee kulindanaAcha usnich Arif,
Ngoja na wewe tukakusemee Kwa Joyce Banda Lile deal lako Haram ulilopiga enzi zile kule mzuzu
Eboooo!
(Joking)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Fair play sioBasi mkuu,nimeghahiri tuendelee kulindana
Oyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hana swali mwizi mwenzetu Sasa tuingie kazini leo wapi mwizi mkuu..??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha "mwizi mwenzetu mbona kimya"?.
Ilikuwa Kwa mzee nani, si hiki kinjia Cha golani[emoji23]Aisee, Msewe sio?
Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
hahahaha umenichekesha sana MkuuBasi mkuu,nimeghahiri tuendelee kulindana
Uzi uliishia hapaUmeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Mimi nilikuwa nakaa sehemu, tulikiwa tunaunganisha umeme directly. Haupiti kwenye LUKU.Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Mkuu kote huko nishakamatwa ila niliacha baada ya watu wa Magomeni kunifanya mradi wao kwani walikuwa wanapokezana kuja kudai rushwaKwa hiyo unaouzoefu kuila au, simulizi TU?