lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana dahHahahahaha, we jamaa acha mikwara, utampatia wapi, labda atufundishe wanaibaje huo umeme? Si tumeambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Usidhubutu kuiba au kuhujumu miundombinu ya TANESCO na unapoona viashiria vyovyote tupigie simu mara moja kwa namba zetu 0748550000.
Tunatoa zawadi nono kuanzia Tsh laki moja na kuendelea
Kiasi cha zawadi kinatokana na kiasi cha upotevu kilichookolewa
TANESCO, tupo Kazini
SAFIUmeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Hapo ni kama wafanyavyo wa pishi gongo au wauza magendo wanageuka watumwa wa mla rushwa Moja mjinga mjinga hata hatokwi jasho yeye.Mkuu kote huko nishakamatwa ila niliacha baada ya watu wa Magomeni kunifanya mradi wao kwani walikuwa wanapokezana kuja kudai rushwa
Mwaka wa sita, ni kifaa gani hicho? Tupeane ujuziKuna jamaa yangu alikuwa na ubunifu wa ajabu yeye alikuwa anapachika kifaa kwenye mita mita yenyewe inachanganyikiwa basi ni free data, et data free tanesko, na watanesko walimpa ofa kwa ulipaji mzuri kumbe anawapiga kuna mwingine ndio anatumia mpaka saiz amefunga na mota za mashine kabisa mwaka wa sita sasa na sijui kama watamdaka bila. Ya mm kusema TANESCO, watu wabunifu bwana
Na hiyo laki 1 ipo kweli? Sio ataje halafu atoke kapaTupo tayari kulinda wateja wetu
Nenda PM ya Tanesco bhana, nasikia kuna donge nonoIlikuwa Kwa mzee nani, si hiki kinjia Cha golani[emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nasikia kuna donge nono la laki 1Mimi nilikuwa nakaa sehemu, tulikiwa tunaunganisha umeme directly. Haupiti kwenye LUKU.
Na watu kibao wanafanya haya manouver ila ni SIRI sana.
Uzi ufungwe.Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Thread iishie hapa.Umeme unahitaji ufundi na utundu mwingi. Vilevile changamoto nyingine ni urefu wa nguzo au juu ukutani.
Ukianza utundu(wizi)kila mtu anakuona mubashar.
Halafu,umeme ni moto ule.Ukileta maskhara unakufa au kupata majeraha au ulemavu.
Tofauti na maji ambapo miundombinu ipo ardhini.Ukianza wizi wako wachache wataweza kugundua.
Unaunganisha kwa ulaini huku umeshika jembe kama upo bustanini.
Swali lingine,mwizi mwenzetu.
Uhujumi uchumiHivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
Hahahah, uliiba umeme ni mzee?!Uhujumi uchumi
Nshakuwaga na msala nao
Wakat fulani
Walinipelekesha sana
Ova
Pengine nguzo Yao, ngoja atupe mrejesho.Hahahah, uliiba umeme ni mzee?!
Ukuda Huu Sasa mkuuUmeme mbona unaibiwa tu usiku, halafu mchana hawaibi.
Yaani Ni kuunga nyanya umeme haupiti kwenye mita halafu pakikucha unatoa waya Sema mpaka uwe fundi
Kwa hiyo mafundi ni wezi?Je, Kwa usiku unalala masaa mangapi? Na masaa mangapi unatumia kwenye kazi hata ukwibe stima ya shirika🤔.Ukuda Huu Sasa mkuu
Unasikia wapi?Nasikia kuna donge nono la laki 1