Unaposema shida na mateso ni matokeo ya dhambi,Shida mateso ni matokeo ya dhambi ukiishi kwa kufuata kanuni na mipango ya Mungu vyote kwako ni historia
Hakuna anayetoza kodi hiyo pumzi, wala hayupo anayeimiliki.Kuna mtu anavuta pumzi ya bure huku anaandika Mungu hayupo...
Wangemtumainia Mungu hangewaepusha na ajali.Unaposema shida na mateso ni matokeo ya dhambi,
Unataka kuniambia yale makanisa na misikiti inayobomoka kwenye matetemeko,
Wale watu wanaokufa wote kwenye majanga kama Tsunami na matetemeko hawamtumainii Mungu?
Unataka kusema Wale wasabato wakitoka kumuimbia huyo huyo Mungu, at the same day wakiwa njiani wanapata ajali wanakufa na wengine wanabaki na makovu na ulemavu wa kudumu, hao hawamtumanii Mungu?
Usihubiri.Utamjua tu maana amesema kila goti litapigwa
Asee unajibu kwa akili kubwaππMtu anapozaliwa kiziwi na kipofu sometimes plus na ukiwete. Ni matendo yake akiwa tumboni?
If no.
Je, una uhakika wewe uliyezaa watoto wasio walemavu u mtakatifu kuliko wazazi wa watoto walemavu?
Kwhyo wew wazaz wko hawakutenda dhambi?View attachment 2667136
Anza verse one
Kifo ni uamuzi wangu??
You ain't sreous
Imagine hiyo mtu unaamua sasa kumpa utajiri anaanza kuimarika na kuwa vema kifedha, ila sasa anakuja kuwa na vitu vifuatavyo, anakuja kuwa anatumikisha kingono watoto, anauwa watu kwa hila ili kufanikisha mambo yake, ananyanyasa masikini, anadhurumu wajane, anatumia pesa kudhurumu haki za wengine na kadhalika, je hautajutia maamuzi yako?!
Huyo Mungu unayemtetea hapa hayupo kwenye uhalisia, labda kama tu unabisha.Sasa basi, wazia MUNGU amekupea nguvu zake za kujua mabaya na mema ya watu kabla hawajatenga, halafu akakurudisha siku za utotoni za huyu mtu akiwa kichanga, akakuachia maamuzi, je utaweza dhuru kitoto kichanga vile kikiwa hakina hatia ili uje uokoe wale wahanga wa ukatili utakao kuja fanywa na hiki kichanga kitakapokuwa mtu mzima, unaweza ua kichanga kwa msukumo wa hasira, ni vipi nikikwambia kila mtu mbaya leo aliwahi kuwa kichanga once na alitetewa na kulindwa kwa upendo ndio maana amekuwa mtu mzima ila still akawa katili
Nakubaliana na weweHawezi kwasababu hayupo wala shetani hayupo.
Biblia imeondoa uwezo wako wa kufikiri.Utamjua tu maana amesema kila goti litapigwa
Kwa lugha nyingine unasema asilimiaa 98% ya watu wasiokula mema hawajmkubali?Imeandikwa:
Isa 1:19
Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi
Mkuu umeandika mambo mengi sana kujaribu kumnasua Mungu wako ambae hayupo, na hawezi kujinasua kwenye hii mitego.Wanadamu ndio wanachagua Maisha. Kasome Jiografia utajifunza Factors zinazopelekea Watu kuanzisha Maisha na makazi katika sehemu Fulani. Ila yote ni uchaguzi.
Hapo ni unajitetea tu, na hoja yako haina mashiko.Huwezi ishi Jangwani au sehemu yenye matetemeko(iliyopitiwa na blonde la Ufa, au lenye Plate movements Kwa Chini) alafu siku tetemeko kilitokea mkifa useme hukuchagua.
Huwezi ishi eneo la mabondeni kama Pale Jangwani alafu yatokee mafuriko Watu wafe(mfe) alafu useme haukupenda.
Huwezi amua ishi maeneo yenye Tufani na vimbunga vya baharini alafu siku tsunami ikitokea useme Mungu kawaadhibu.
Huwezi ishi sehemu yenye Mvua chache au yenye ujangwa alafu useme Mungu anataka mfe na Njaa. Utakuwa punguani wa mwisho Kabisa
Sijakuelewa na hoja yako haina mashiko.Bado haujanielewa?
Kule kumtaja kwa jina tu "Mungu" tayari umekiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakiwezi kuwa na jina!Mungu hayupo
Mkuu umeandika mambo mengi sana kujaribu kumnasua Mungu wako ambae hayupo, na hawezi kujinasua kwenye hii mitego.
Hyo elimu unayoisema ni zao la baadae sana baada ya watu kujifunza kuhusu matetemeko,
Je kabla ya elimu hii ya tetemeko kwanini Mungu hakuwajulisha kwa kuwapa allert msiishi maeneo hayo?
Na kama anaupendo wote kwanini ameweka tetemeko, tetemeko ni la kazi gani yeye sasa kuliweka?
Hapo ni unajitetea tu, na hoja yako haina mashiko.
Kama mungu ameyaumba yote hayo, kwanini hajawapa nauli watu wahame wasiishi hayo maeneo yenye matetemeko kama unavyodai.
Huoni wale watoto wasio ma uwezo wa kujiamlia kuhama maeneo hayo, wakikumbwa na matetemeko utasema wamechagua?
Watoto walichagua kuzaliwa hayo maeneo.
Sijakuelewa na hoja yako haina mashiko.
Sasa nijibu hapa chini nikubali kama kweli mabaya ni uchaguzi, ππ
Vipo visa vya vimondo kuua watu ni pamoja na tukio la meteoriti lililotokea mnamo mwaka 2013 huko Chelyabinsk, Urusi. Kimondo kilichoingia angani kilipasuka juu ya mji huo, kusababisha vioo vingi kuvunjika na watu wengi kujeruhiwa kutokana na vipande vya vioo.
Moja ya visa maarufu ni lile la Tunguska huko Siberia, Urusi mnamo tarehe 30 Juni 1908. Kimondo kikubwa sana kilipasuka angani na kusababisha mlipuko mkubwa,
Je hapa unasemaje kuhusu dhana yako ya uchaguzi?
Huu ndio utetezi wako kuwa mungu yupo? Aiseee!!Kule kumtaja kwa jina tu "Mungu" tayari umekiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakiwezi kuwa na jina!
Spider man yupo.Kule kumtaja kwa jina tu "Mungu" tayari umekiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakiwezi kuwa na jina!