Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

Hakuna mungu hizo ni stori za kubuni za watu wa kale
Kila Mtu na Imani Yake,Wenye akili Na yakini wanaamini Uwepo wa Mungu.
Waliokengeuka Na Dunia Na starehe zake Katu Hawawezi Ona Uwepo wa Mungu Licha Ya Kuona dalili zake.

83:12-13 Quran
12:Wala haikadhibishi ila kila mwenye kuruka mipaka, mwenye dhambi
13:Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale!
 
Sasa kwa Mujibu wako unaposema kuwa uovu wa wazazi usababishe mtoto kuwa vile

Huyu Mungu atabaki kuwa wa haki?

Yani mungu kwa anavyosimuliwa tu kashindwa hata kufikia viwango vya haki kama binadamu anavyotafsiri haki.

Means binadamu anajua haki kuzidi hata Mungu.

Yaani Mungu kama angekuwepo kweli alipaswa kuwa ICC kujibu mashitaka makubwa kama hayo kwa makosa aliyoyasababisha na uhalifu.

Huyo Mungu katungwa tu, tena kaungwa ungwa tu na watu wenye uelewa mdogo wa mambo.

Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote, Mungu mwenye upendo na Mungu wa haki, inawezekana vipi aumbe huu ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Inakuwaje afanye watoto wateseke kutokana na dunia yenye uovu kuwezekana ambayo ameiumba yeye mwenyewe?

Unawaza kama mimi huwa nasema yaan sisi binadamu tunaakili kuliko yeye yaan unaona source ya tatizo alAfu unaacha unawapa lawama wanao fanya baada ya kukutana na ile source huwa nasema kabisa sisi tumemzidi utashi mungu.
 
Kweli. Watu wengi uelewa wao duni akili wamempa mchungaji wao
Yaani ni mzazi gani anaweza
kuruhusu kwa makusudi nyoka aingie chumba cha watoto wake kisha kuwaambia mkizidiwa mniite? . Nina uwezo wote.
Ahahahaha kuna hoja hazijajibiwa

[emoji1787][emoji1787]
 
Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
View attachment 2667063
Mungu katuumba na kutuelekeza tuishi vipi kupitia vitabu vyake na Mitume na Manabii aliowatuma kwetu,ukienda kinyume na maelekezo aliyotupa lazima utapata tabu.
Ni sawa na waliounda magari,wametoa vitabu na malekezo jinsi ya kutumia hayo magari na pia wakaweka sheria za barabarani,ukienda kinyume na maelekezo yao,utaharibu gari,utapata ajali na mengineo,hapo sasa uanze kumlaumu aliyeunda gari.
 
Mungu hayupo
Mungu yupo,kuna mambo mengi yanafanyika mwilini mwako,huwezi kuyageuza kwa utashi wako,kama usingizi,njaa,kufa kuumwa,kufikiri,kuchoka,huzuni,furaha nk.Wanasayansi pia wameshindwa kufanya binadamu asitokee na hali hizo.
 
Kila kitu ni matokeo ya matendo yetu ya Kila siku
Umemaliza mjadala,huu ndio ukweli,matendo yetu wenyewe ndio yanasababisha matatizo,mama katafuta mtoto Mungu kampa,kenda mtupa yeye mwenyewe,na huyu kijana amefika umri mkubwa,atafute mke aoe,aanzishe familia yake,mke wake ndio atakuwa mwenzake kwenye furaha na huzuni.
 
Aliyekuambia Elimu ya Jiografia ni Elimu ya baadaye ni Nani?

Kasome Geomorphology ndio utajua kazi ya matetemeko, volcano, tsunami n.k. katika huu Ulimwengu. Uache ujinga na umbumbumbu kwenye mambo usiyoyajua.

Unafikiri pasipo volcano(ambayo pia husababisha tetemeko la Ardhi) milima Kama mlima Kilimanjaro ungekuwepo?
Visiwa vingekuwepo?

Hii Dunia kuna michakato inaendelea kama vile mwilini mwako mifumo ya mwili unavyofanya kazi.
Sasa Kwa vile hujui ukisemacho, basi tunasema sio kosa lako.

Ila elewa kila kinachotokea kwenye Dunia kinafanya kazi Fulani ambayo ni muhimu katika mustakabali wa Ulimwengu.

Kwan hakuna njia salama ambazo haziumizi watu kwahyo ww lazima uwatese wanao ili uwape chakula?
 
Umemaliza mjadala,huu ndio ukweli,matendo yetu wenyewe ndio yanasababisha matatizo,mama katafuta mtoto Mungu kampa,kenda mtupa yeye mwenyewe,na huyu kijana amefika umri mkubwa,atafute mke aoe,aanzishe familia yake,mke wake ndio atakuwa mwenzake kwenye furaha na huzuni.
Kabisa mkuu
 
Mtu anapozaliwa kiziwi na kipofu sometimes plus na ukiwete. Ni matendo yake akiwa tumboni?
If no.
Je, una uhakika wewe uliyezaa watoto wasio walemavu u mtakatifu kuliko wazazi wa watoto walemavu?
Wanawake wengi wanatumia madawa ya kuzuia uzazi,kuanzia ya kienyeji mpaka ya hospital,ili atoe mimba,au kuzuia uzazi,dawa zinakataa kuzuia uzazi,kunazaliwa mtoto mwenye mapungufu,hapo utamlaumu Mungu.Ni sawa na kuwa na gari kutofuata maelekezo ya aliyeunda gari,kama kuweka,oil,maji,gari ya petrol ukaweka diesel au mafuta ya taa,wakati ameshakuelekeza matumizi ya hiyo gari,ikiharibika unamlaumu mjapani,aliyeunda gari.
 
1. MUNGU HAYUPO

2. MUNGU YUPO ILA HANA NGUVU ANAZOSIFIWA ANAZO. HAWEZI KUMUUA SHETANI NA WALA HAWEZI KUZUIA MATESO KWA VIUMBE VYAKE
Ni sawa kusema,hakuna aliyeunda gari,mbona muundaji wa gari ameshindwa kuzuia,gari isitembee mpaka kuwe na nguvu nje ya gari,kama petrol,diesel,battery,nk.
Kila kitu kina utaratibu wake,TV haifanyikazi bila umeme,utasema hakuna aliyetengeneza TV,kwasababu ameshindwa kuifanya TV,ifanyekazi mpaka itegemee umeme.
 
Hakuna zao lisilowekwa mbolea sikuhizi...pia madawa au njia za kuzuia mimba...lakini pia kuharibu kutoa mimba ikigoma mtoto alizaliwa Lazima awe na hitilafu...nijuavyo mimi
Na ndio uhakika huu,wanadamu ndio tunaosababisha maovu duniani,kuanzia madawa ya kienyeji mpaka hospital ya kuzuia mimba,na kina mama wanapokutana wanapeana nji nyingi hqtarishi za kuto mimba,kama kula sabuni za unga au vipande au mizizi ya miti nk.,bado hatujagusia ukulima wa kisasa wa kutumia kemikal,mifugo inayofugwa kutumia kemikali,vyote tunakula,bado mabomu ya vita wanaopigana,wanadamu lazima wapate hitilafu ya kuzaliwa.
 
Yeah, that's it
 
Kama jibu ni nature na hitilafu sawa [emoji736]

Lakini ni udhihirisho mwingine kuonesha kuwa Mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na mwenye upendo wote hayupo na wala hawezekani kuwepo.

Angekuwepo hizo hitilafu za maumbile tusingeziona
Mungu yupo,na alikuwepo na atakuwepo,tatizo ni lako wewe,ni sawa uwe shule unasoma wewe unakuwa wa mwisho ,wakati wenzako wanakuwa kwenye kumi bora,halafu ulaumu kuwa shule haina waalimu,wakati ni uzembe wako wewe mwanafunzi,unacheza mwisho wenzako wanatoka na Div One,wewe unatoka na Ziro,halafu wasema shule ile haina waalimu.
 
Ni sawa kusema,hakuna aliyeunda gari,mbona muundaji wa gari ameshindwa kuzuia,gari isitembee mpaka kuwe na nguvu nje ya gari,kama petrol,diesel,battery,nk.
Kila kitu kina utaratibu wake,TV haifanyikazi bila umeme,utasema hakuna aliyetengeneza TV,kwasababu ameshindwa kuifanya TV,ifanyekazi mpaka itegemee umeme.
Ni sawa kusema,hakuna aliyeunda gari,mbona muundaji wa gari ameshindwa kuzuia,gari isitembee mpaka kuwe na nguvu nje ya gari,kama petrol,diesel,battery,nk.
Kila kitu kina utaratibu wake,TV haifanyikazi bila umeme,utasema hakuna aliyetengeneza TV,kwasababu ameshindwa kuifanya TV,ifanyekazi mpaka itegemee umeme.

If all things have a creator, then who created God?"
 
Dah! [emoji848]
Nimejikuta nalia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Jamaa Amenitonesha kidonda kilichoanza kupona
Namemkumbuka mama yangu mlezi alivyokuwa akinisimulia jinsi alivyo niokoa mikononi mwa Mbwa waliokuwa wakiliburuza Box lililokuwa limebeba mwili wa mtoto mchanga, sauti ya mtoto kutoka ndani ya Box hilo ndio iliyomfanya mama huyo kushituka na kuomba msaada kwa wapita njia kuwafukuza hao Mbwa kisha walifungua lile Box wakamuokoa Mtoto ambaye Ndiye Mimi[emoji24][emoji24]
HATA IWAJE KWANGU MUNGU BADO NI BABA
ANAFANYA KILA KITU KWA MAPENZI YAKE, YEYE ANATOA NA YEYE ANATWAA, YEYE ANAPANGA UZALIWE KWA FAMILIA GANI, YEYE ANAANDAA ULELEWE WAPI.
MUNGU MKUU HANA BAYA
 
Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
View attachment 2667063
Kama Kama mungu angekuwa wee mnk Ni Kwamba duniani kote isingekuwa sehemu sahih ya kuishi na watu wangeomba kwenda sayari nyingine kbs

HV imagine watu wasingefanya Kaz Wala chochote kwa vile mungu atatoabila kutafutaa na Wala kufanya Kaz
Hvyo Ni vzr hata maskini wapambane sna kwa vile mungu pia anachukia umaskini mno
 
Mungu ana Serikali na yeye na Sheria zake...Sasa tatizo hamfuati..

Mungu ni Mungu wa utaratibu
Huu ndio ukweli,ukienda kinyume na taratibu za Mungu utapata tabu
1:Huyu mama itakuwa amezini,akapata mtoto,ili kuficha aibu akamtupa,wakati Mungu ametaka watu waoane kisheria.
2.Mungu amehimiza kuwa tufanye kazi,huyu kijana afanye kazi,aanzishe familia yake ya ndoa,aoe mwanamke ambaye ndiye atakuwa mwenzake,aache kujiliza,wapo wengi walikosa wazazi,na wengine ni wasichana lakini wamejipigania,wakaanzisha maisha yao,itakuwa yeye mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom