Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail.
Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au kulipa ada za shule na kadhalika. Ila sio kitu cha kawaida kuona watu wakiuza magari haya kwa mwendokasi huku wakisifia sana ubora wake pamoja na uimara.
Natamani kufahamu je kwanini kipindi hiki Nissan Xtrail zinauzwa kwa wingi haswa kwa wale ambao walizinunua ila hawazitaki tena.