Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

Nisan sio gar mbaya wa mbovu kias iko sema kwa hapa kwetu mafund weng ndio wamepelekea wamilik weng wa haya magar kuyachoka mapema kutokana na mafund kukosa elimu sahii ya kufix haya magar, kwanza nisan n gar yenye full of sensa sasa fund maiko akishbdwa kutatua tatzo kama ilvyo kwenye Toyota akikata nyaya sa sensor flan gar uendelea kurun bila sida ila kwa nissan haitak ujanja ujanja
 
Wajapani hawana magari fake unaposema NISSAN ni gari mbovu sio sahihi. Zinauzwa zaidi kwa wenye akili USA na CHINA. Ninatumia Nissan x trail na Toyota harrier za miaka tofauti kwenye utengenezaji, Iko hivi kwenye x trail hizi gari ni poa sana nafikiri Nissan alitengeneza extrail kushindana na Toyota harrier kuanzia generation ya kwanza mpaka hizi mpya.x trail zote zina four-wheel drive ya kibabe sana hunasi kizembe na ni selective wakati harrier nyingi ni two-wheel drive, pia performance na fuel consumption ni nzuri kama unaagiza au kununua kwa mtu x trail nzuri zaidi ni hii ya kuanzia generation ya pili 2008 Ina umeme mwingi na matatizo mengi kwenye generation ya kwanza walirekebisha.Tatizo kubwa la x trail ni oil fake(engine na gearbox oils), narudia Tena tatizo la x trail ni OIL FAKE,engine na gearbox za x trail hazitaki oil fake. Tununue oil kwa authorized dealers tu hawa wajasiriamali wetu hawana huruma ni kula kwa urefu wa kamba tu, wahuni wanaweka package cover original kabisa ndani oil ni takataka na seals zote zinawekwa
 
We mbwa acha ego za kishamba, IST, Vitz, Crown, Spacio siyo magari?
 
We mbwa unaumwa nenda katibiwe, shoga unaweza kuwaita watanzania useless? Hizi chuki na ghadhabu za nini
 
UKO SAHIHI
 
Sahihi
 
Wanyarwanda,congo na wakenya hawana Kodi za kijinga kama ilivyo TZ ndiyo maana wanaweza kununua gari nzuri zaidi ya wtz
 
Hiyo gari Kwasas ndyo IPO sokon kulingana na uchumi wetu ila onyesha model ya gari kamili usikulupuke Haina hela unataka vitu vzur tafuta hela utaanza ooh oil consumption Sasa Kama huna hela gari yanini tafuta ela
 
Gear box.
Haswa chasis yake na air flow mass senser.
Msipotoshe watu humu elimu ya magari hamna huenda unasikia tuuh magari gear box nn unanunua gar huzingatii maelekezo kama bodi, atmospheric conditions, Land stability,n.k Kisha unakuja kudanganya watu gear box how,(....)??
 
Mkuu ungespecify model ya Nissan Xtrail na mwaka husika wa Nissan ambao ni umekuta sokoni zinauzwa sana, hiyo ndiyo tungejua tatizo liko wapo
Nikwel huenda hajui hata ni model gan ambay wabongo vichomi wameshindwa kuitunza maan mpaka range Rover watu wanauza tuuh sembuse Nissan xtrail
 
Haya ma nissan ni usenge tu dawa yake ni Toyota basi
 
Msipotoshe watu humu elimu ya magari hamna huenda unasikia tuuh magari gear box nn unanunua gar huzingatii maelekezo kama bodi, atmospheric conditions, Land stability,n.k Kisha unakuja kudanganya watu gear box how,(....)??
Naendesha Gari Hata baba yako hamiliki gari. Na nikwambie tu nina Suzuki escudo g16 mbili, za 98, urithi kutoka kwa mshua, najua shida za gari kuliko unavyodhani mwehu wewe.
Nissan X-Trail nchini Tanzania, hasa yale yenye gearbox ya CVT (Continuously Variable Transmission), yanakabiliwa na changamoto kadhaa zinazohusiana na mfumo wa gia. Sababu zipo nyingi mfano matumizi ya mafuta bora ya transmission, xtrail mafuta yake huwa ni maalumu, NS -2 AU 3 CVT fluid. Wengi wanachanganya tu.
Matumizi mabaya ya gari, mtu anatoa xtrail kwasababu gari ya juu, anaovertake kama anaendesha v8 au harrier au brevis na markx.
Matengenezo ya hovyo. Pia zinaua sana gia box za hizi gari.
Wewe mtoto wa mama unadhihaki watu humu tutaja kukupiga dole. Mimi huniambii chochite kuhusu gari. Labda uje tuelekezane. Nimefanya ufundi hapo bongo 3 fckn years nimeagiza magari 7 years. Fck u bitch
 
Ulitaka watu wasiuze magari!

Akili ndogo ni sawa na kusema mbona watu wanaoa Wssukuma!
 
Magari ya Nissan spare zake nichache sana na bei kubwa, n ilikuwa na Nissan Terano ilinitesa sana, unatafuta spare Dar,Arusha, Kenya hupati spare , spare aziingiliani kama Toyota unaanza kununua used spare ambazo nazo ni mchanganyiko utaletewa spare za Nissan safari, patrol, urrvan , extrail, nk zone haziingiliani flywheel ina matundu 6, nyingine 8, 5 .Kama unamiliki gari ya kwanza Anza na Toyota, tembelea garage nyingi utakuta ma Nissan yalivyopaki unashinda garage siku 5 ukisubiri spare, gari zinachemka sana na kuungua njiani, hata taasisi za serikali,mashirika mengi wameachana na Nissan.
 
Sio kweli kwamba Nissan Trail ni gari MBOVU kama wengi wanavyoielezea hapa
Ni gari NZURI kama zilivyo Toyota, Subaru nk nk

Tatizo kubwa linalokuja kuzigharimu gari hizi hapa Bongo ni mentality za wamiliki na mafundi plus wauza oil kui treat hii gari kama ni Toyota

Hakuna gari ambayo ni PERFECT 100% kila gari ina weakness zake, hata X-Trail inazo pia
Mchawi namba moja ni OIL FAKE
Nissan haitaki oil fake utaua engine na gearbox haraka sana
Lakini pia gari hizi zina endeshwa na mifumo mingi ya kielectroniki na sensa ambazo zinawazingua sana mafundi MAIKO ambao wamebobea kwenye Toyota

Ukiona mtu kaua gearbox au engine ujue kaleta ubahili na kuweka cheap fake oil
Na ukiona sijui imewaka moto ujue Fundi maiko kafanya yake kwenye mifumo ya kilielectroniki
 
Sijui exposure uliyo nayo ni ya aina gani. Lakini kuacha watu waishi maisha yao ni dalili ya kuwa na exposure pia. London watu wengi hawana magari kwa sababu parking ni expensive, foleni, na public transport ni reliable. Lakini sioni watu wakishangaa kuwa wenzao hawana magari. Hio pia ni wao hawana exposure? Btw hujui natumia magari ya aina gani.
 
Jami forums tuendelee kuelimishana kwa wale vijana wanaotamani kumiliki gari kwa Mara ya kwanza, watambue changamoto za Nissan, mafundi wa Nissan ambao sio wengi, Nissan wanatoa matoleo mengi mno kutambua oil za magari bei ya spare kwa mfano : Altenator Nissan 1,200,000/ Toyota 400,000/ chochote cha Nissan bei Mara 3 ukilinganisha na Toyota. Pesa inatafutwa kwa tabu sana ndio maana watu wanaangalia unafuu wa magari na spare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…