African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu.
Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza kugundua humu ndani kuna battle ya udini iliyojificha katika ajenda ya vita kati ya mataifa mawili Israel na Palestine, Kwanza kabisa nianze kwa kusema sipo hapa kwa ajili ya kuingia kwenye hii battle yenu, ila lengo na dhumuni langu nataka kutoa darasa kidogo, kwani kuna watu wapo weupe sana kichwani, ni jukumu la mtu mwenye busura kuweza kutoa elimu ili tuweze kuwekana sawa.
Leo nitatumia reference ya bible kujenga hoja zangu na kutetea kile ninachoamini ni ukweli, na kitu kingine nilichokigundua ni kwamba kuna wakristo wengi wanatumia bible kama kitabu cha muongozo kwenye imani zao lakini ukweli ni kwamba wengi hawaijui bible wengi wanawasikiliza sana wachungaji wao katika kusoma na kutafasiriwa hivyo wengi hukosa uwezo wakuweza kuisoma na kuielewa bibilia.
Hoja yangu ni kua watu wengi hawafamu chochote kuhusu taifa la waisrael, nikaenda mbali na kusema taifa hili la leo tunaoambiwa ni waisrael hawana mahusiano yoyote na taifa la Israel ambalo hadithi zake tunazisoma kwenye bibilia, najua kuna watu wengi mlikua hamjui hichi kitu na wale wachache wanaofahamu wana kosa hoja na mifano ya kutetea hoja zao, sasa nawaletea ushaidi kutoka kwenye bibilia, bible inatuambia waisrael ni watu wa aina gani? Angalizo nimesema nitatumia bibilia Kama reference ila mambo ya vifungu mimi sikariri huwa napenda kusoma bibilia na sio kukariri vifungu, na kitu kingine kuna watu hua na tabia ya kukoasoa uandishi wa wenzao, ni kwamba hapa sipo kuandika insha ya kiswahili nadhani tumeelewana.
Je bibilia inawaelezea vipi wana wa Israel? Ukisoma kitabu cha mwanzo utakutana na hadithi ya Nuhu na garika, haditthi inasimulia bahada ya wanadamu kuwa wengi na kuongezeka watu walianza kua chukizo machoni mwa bwana, ndipo mwenyezi mungu alipowashushia gharika na kuangamiza watu wote isipokua Nuhu na jamaa zake waliokua ndani ya safina, yahani ndani safina Nuhu akatoka na watoto wake ambao walikua ni Hamu, Shemu, na Yafethi na kupitia hawa wakasambaa na kuujaza nchi.
Hamu aliweka makazi yake Africa na kuzaa watoto wake ambao ni Cush, Misri, Putu (Libya) na Canan kitu watu wengi wasichojua nikwamba bibilia ni kitabu kinachoelezea mwanzo wa ulimwengu na civilization yake na pia inatuambia huu ulimwengu utaisha vipi, hapa nataka niwambieni kwamba Hamu ambao wengi husema ndio baba wa watu weusi, kiasi kwamba wazungu wakaja na hoja ya kwamba Hamu alilaaniwa na baba yake kwani alimuchugulia wakati Nuhu alikua kalewa mvinyo na kubaki uchi, na ukisoma bibilia inasema Nuhu akumulaani Hamu lakini alitoa laana kwa Canan ambye alikua ni mtoto wa Hamu yahani mjukuu wa Nuhu, na bibilia inasema watoto wa Hamu ndio waliotengeneza Civilization kubwa zilizoanza mwanzo kabisa, kama vile Egyptian civilization Cushite civilization (Ethiopia) Canan alienda kukaa Asia na maeneo ya middle east katika eneo ambalo linajulikana kua ni la wapalestina.
Najaribu kukuonesha kwamba watu wa taifa la Israel walikua na vinasaba vilivyoshabiana na watu wa Misri na Cushite.
Abraham bahada ya kukaa kwa muda mrefu pasipo kupata mtoto mkewe Sarah alimpa kibali kuzaa na kijakazi wake Hagali ambaye alikua ni mwanamke wa kimisri
Lakini pia bibilia inatuelezea kisa cha Yusuf na nduguze katika hii hadithi tunaona Yusuf aliuzwa na ndugu zake kwa wafanyabiashara waliokua wakielekea Misri na bibilia inatuambia badae Yusuf alikuja kua kiongozi mkubwa tu ndani ya nchi ya Wamisri, lakini bibilia inatuambia bahada ya janga la njaa kuikumba dunia wakati ule nchi iliyokua na hadhina kubwa ya chakula ilikua ni Misri, hivyo ndugu zake na Yusuf iliwalazimu kufunga safari mpaka Misri wakitokea Canan kwa lengo la kutafuta chakula, bibilia inatueleza ya kwamba walipofika Misri ndugu zake hawakuweza kumtambua Yusuf lakini yeye aliweza kuwatambua.
Ukisoma maelezo ya hapo juu utangundua kuna kitu cha kujiuliza kwanini nduguze na Yusuf walishindwa kumtambua Yusuf kwani walimuona kama viongozi wengine tu wakimisiri, na hapa ndipo tunagundua Wamisri wa kale walikua na vinasaba na waisrael na ndio sababu ya ndugu wa Yusuf walishindwa kumtambua ndugu yao, yahani ni kama Mtanzania apate nafasi ya kua kiongozi Kenya kama awatakwambia huyo kiongozi ni Mtanzania itakua ni vigumu kutambua sababu ya kwamba wakenya na watanzania ni race moja, hivyo hata Wamisri na waisrael walikua ni watu wa race moja.
Pia ukisoma kwenye kitabu cha Kutoka utakutana na hadithi ya Musa, ambapo bibilia inatuambia Musa alizaliwa Misiri, akalelewa na kufundishwa elimu ya Kimisri, na alipofanya uasi kwa kumuua Mmisri ndipo Musa alikimbilia Ethiopia ambako alihishi na kubahatika kuoa mke wa Kiethiopia.
Lakini pia ukisoma hadithi ya mfalme Solomon utaona na yeye mke wake wa kwanza alikua ni mwanamke wa Kimisri na badae Mfalme Solomon alikuja kuzaa na malkia wa Sheba au Ethiopia, lakini pia kwenye kitabu cha wimbo ulio bora Kuna sura inaelezea mwandishi wa Kitabu hicho ambaye inahaminika kua ni Mfalme Solomon akiweka wazi rangi ya ngozi yake kua ni mweusi hivyo pasipo na shaka yoyote tunaweza kusema mfalme Solomon alikua ni mtu mwusi.
Kwa ufupi tu ni kwamba ukiisoma bibilia utangundua watu weusi ndio wanaconnection kubwa na Waisrael walioandikwa kwenye bibilia kuliko hawa wa sasa hivi wanaokalia eneo la watu kimabavu.
Na ushaidi wa kisayansi na kihisoria unaonyesha wanyeji wa Misiri ya zamani walikua ni watu weusi na na sio hawa waarabu walikuja karne ya 7 ambapo uisilamu ulikua ukienezwa kwa njia ya jihadi.
Pia soma:Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel