Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

NI KUPOTEZA MUDA KUZUNGUMZIA KITU KILE KILE MUDA WOTE. YAANI UMELETA MAMBO AMBAYO TAYARI TUNAYAFAHAM. HAMNA JIPYA.
Tuambie unachokijua ili uwasaidie na wengine, unaposema mambo tayari mnayafahamu, ni wewe na wakina nani?
Kuna watu walikua hawajui chochote kuhusu hivi vitu nilivyovileta hata kama wanapinga lakini najua wametambua kuna mtazamo mwingine kuhusu ili taifa la Israel ambao walikua hawaujui, sasa wewe ulitakiwa kuonesha unachokijua lakini umeamua kutuandikia mistari ya kwenye taarabu
 

HAKUNA MTU SERIOUS AMBAYE HAKUWA ANAJUA HIKI ULICHOANDIKA. KIPO WAZI CHEPESI. HAMNA JIPYA. YALE YALE UMEOKOTEZA OKOTEZA KWENYE NYUZI UKALETA HAPA. HAMNA JIPYA.
 
HAKUNA MTU SERIOUS AMBAYE HAKUWA ANAJUA HIKI ULICHOANDIKA. KIPO WAZI CHEPESI. HAMNA JIPYA. YALE YALE UMEOKOTEZA OKOTEZA KWENYE NYUZI UKALETA HAPA. HAMNA JIPYA.
Watu serious ndio wakina nani? na kama unajua mbona mimi kuleta huu uzi inaonekana unaumia sana.

Halafu auna hoja zaidi ya kudai hivi vitu unavifahamu, ushauri wangu kwako tafuta bendi ya taarabu kajiunge nao usiache kipaji chako kikapotea mkuu
 
Kama kula yao kesho hawaijui, sa itakuaje waijue Israel...🤔
 
Watu serious ndio wakina nani? na kama unajua mbona mimi kuleta huu uzi inaonekana unaumia sana.

Halafu auna hoja zaidi ya kudai hivi vitu unavifahamu, ushauri wangu kwako tafuta bendi ya taarabu kajiunge nao usiache kipaji chako kikapotea mkuu
NIUMIE KWA WEWE KUANDIKA MARUDIO? SIMU YAKO NA KILA KITU CHAKO. UNA COPY UNA PASTE SASA HAPO KUNA SHIDA GANI? MI NIMEKUSHAURI TU KUWA FIND SOMETHING NEW.
 
Hawezi kukuelewa sababu ukifatilia maandishi yake kaleta ujanja sana asijulikane kuwa yupo kidini zaidi ya alichoandika. Kwanza anamaanisha wale pale siyo waisrael na Nika Kama kizazi hicho Cha Israel hakipo Tena duniani. Anajaribu kushika shika Mara wamisri wa zamani? Wakati misri ilikuwepo Mara waethiopia. Wakati waitheopia walikuwepo na Africa ilikuwapo pia. Aje na mada hao waisrael anaohisi hawapo wameenda wapi?. Na kwanini wasiwepo na kama wapo ni kina nani? Siyo anarukaruka kwa kutumia biblia. Atumie hata kitabu Cha Imani yake pia.
 
Wewe ni mbumbumbu na ndiyo maana unaanza kujihami na eti "mm sikariri vifungu vya biblia" Abraham alitokea mji unaitwa Ur, kwenye jamii ya wakaldayo miaka kama 2018 BCE; alipoishi alifanikwa kuwa pamoja na Shem mtoto wa Nuhu kwa takriban miaka 150 kabla Shem hajafa. Pia fahamu kuwa ingawa bible kuna maandiko inabainisha baadhi ya watu (mf. mke wa Moses) kuwa ni Cushites bado hiyo inaweza kuwa referrence ya location ya jamii hiyo ya watu badala ya kuwa rangi yao ya ngozi. Biblia haijiingizi kwenye mtego wa kubainisha rangi ya watu kama ambavyo Quran iliingia mtego huo na hata kumbainisha ati mtume ni jamii ya watu weupe. Vile vile ujue kuwa biblia ingawa si kitabu cha kihistoria, bado inabidi wewe unayekisoma uende kwenye secular history to vindicate what the bible teaches.
Fahamu pia kuwa kinacho mtambulisha mtu siyo hasa muonekano wa maumbile yake bali kumbukumbu iliyoko kichwani mwake na historia iliyohifadhiwa. Ndiyo maana unaweza mvamia mtu hasa wale walio mapacha na kufikiri ni yule unayemjua, mpaka pale utakapothibitishiwa otherwise kutokana na kumbukumbu alizonazo. Yesu alipofufuka kwakuwa alifufuka akiwa roho (1 Peter 3:18b) alikuwa akivaa miili tofauti na ule aliokuwa nao na ndiyo maana wanafunzi wake hawakumtambua mpaka pale alipotambulisha kwao kumbukumbu za pamoja wakati akiishi nao ndipo walipata kuamini kuwa ndiye yeye mwenyewe.
Waisraeli hawa wa sasa ingawa wanaweza kuwa siyo wale wa zama hizo kwa maana ya maumbile na rangi, ukumbuke kuwa watu hawa waliishakuwa mbele kimaendeleo kiasi kwamba traditions na namna ya ibada yao walii document vizuri kiasi kwamba kokote walikopelekwa uhamishoni wameendeleza traditions, customes, lugha na ibada yao.
Mfano mwingine ambao uko kinyume na huo ni Wamarekani weusi. Kwakuwa sisi waafrika hatukuwa na maendeleo hayo ya kutuwezesha kudocument traditions zetu, ndiyo maana hawa watu walipofika USA, kila kitu kilipotea hata majina yao ya kiafrica pia yakapotea.
Ninachokusihi ndugu, nenda taratibu na hiyo historia ambayo ni very sensitive 🥺 ujue tu kuwa si kila unachokisoma mtandaoni kuhusu historia ni genuine; you got to compare those historians wengine huandika kwa maslahi yao.
Hao unaojaribu kuwatetea ktk suala hili ujue kuwa the foundation of everything they teach is fraudulent. Mohammad is an invention, Mecca also, Alaqsa mosque and Dome of the Rock basis zao ni uongo, Issa wa Quran is a scam, quran is silliest book ever with lots of lies and mistakes. Kinachowasaidia ni kuwa Shetani yule gwiji la propaganda ndiye anayeiongoza hiyo dini ndiyo maana their lies travel very fast around the world.
 
Naona kabisa umeshindwa kujibu hoja, ila nia yako ilikua ni kuwashambulia waisilamu, mimi sio muisilamu hivyo siwezi jibu hizo hoja zako ulizoziandika mwishoni nadhani watakuja wenyewe kukujibu.

Hoja zangu zote nimetoa katika bibilia na si kitabu kingiene, Nina facts nyingi tu tofauti na bibilia zinazonithibitishia hawa waisrael wa sasa sio wale walio andikwa kwenye bibilia
 
Ninajua madhila kama hayo yakitokea, huwapata baadhi ya raia na si wote kwa ujumla wao.

Wapo wanaosalimika, wapo wanaotekwa na kuchukuliwa, wapo wanaokuwa mbali na jiografia ya tukio.

Ndiyo swali linabakia pale pale:
Kuna siku ilishatokea wakaswagwa raia nchi nzima kaya kwa kaya na kupachikwa watu wengine, hao watu waliopachikwa walitokea taifa gani na mwaka gani, kwa nini waliopo sasa waendelee kujiita Waisrael?
 
Leta hayo maandiko na hizo secular references zako.
 
Walio salimika walikimbia na walio baki walikamatwa na kupekwa utumwani, Waisrael halisi hawakuwa wazungu.

Tangu uvamizi na kurudishwa hapo hao wazungu wanao julikana leo kama Waisrael ulikuwa ni mpango maalumu wa kujionyesha kwamba wao ni watu tofauti na race nyingine hata sasa wamefanikiwa sana unaweza kuona wameweza kuingiza picha kwenye vichwa vya wengi kwamba malaika wana muonekano wa kizungu kama wao, hata mitume wote walikuwa ni wazungu.

Sasa ili kuyatimiza yote haya ndiyo maana walifanya hawa hata Kuwapoteza Wamisri wakale ambao nao walikuwa weusi na kuwaweka Waraabu.

Vita ya WW2 ambayo ilisababisha taifa hili kuzaliwa ilikuwa imepagwa, Adolf Hitler alisaidiwa na kanisa kuanzisha vita hiyo. na baada ya vita hiyo mwaka 1948 Israel mpya ilirudishwa hapo walipo leo.
 
Wape madini kuna watu weupe sana kichwani
 
Hili Jukwaa andika Vitu vya msingi vinavyoleta Maendleo Kwa Watu Kwenye Fursa za Kilimo, ufugaji Wa Kisasa ,Biashara ,Madini kama Huna hoja ya kuandika na Kutoa Fusra Watu wakafaidika na elimu Yako bola ukae Kimya usiandike Chochote Sio unaandika Ujinga wako Alafu hutaki Watu wacoment Upumbavu wako kama Huna Cha kupost tulia au Post Kwenye Jukwaa la Wajinga wenzio huko.
 
Una stress mkuu, Kaa chini utulize akili,
 
H
Hiki unachokiandika kilifanyiwa utafiti na mzungu mmoja hivi ,na akasema kwamba waisrael halisi ni jamii ya watu weusi!

Hasta mfalme wa misri Abdul naasar alipoambiwa alitambue taifa la sasa kuwa ni la waisrael yeye alihoji"MBONA AWALIONDOKA UTUMWANI MISRI WAKIWA NA MUSA WAKIWA WEUSI WAMEKUAJE WEUPE GHAFULA" MZEE ALIKATAA KATA KATA KUITAMBUA ISRAEL YA SASA KUWA NI TAIFA TAKATIFU!

Yule mzungu anaandika kwamba ukiwapima DNA hao waisrael unapata nasaba za waturuki,wajerumani na wazungu wa kawaida was europe!!

Ukweli unaonekana kabisa Mimi mswahili was Tanzania naweza kufanana na yesu kimuonekano kuliko Benjamini Netanyahu was Israel!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…