Kwanini watu wengi hufikiri forex ni betting, wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa

Betting ya kitu kama mpira wa miguu? Nakuhakikishia inahitaji ujuzi wa kina! Ukitumia kubahatisha tu huendi mahali.
 
Beting imebase ktk bahat sana mkuu trading hamna cha bahati ni logic tu unawin every time
Mh.... betting inahitaji uwe na uelewa wa timu husika na historia za mechi zao na mengine mengi. Naweza kusema kuwa 75% inahitaji ujuzi na 25% bahati. Wengi wanafeli kwa sababu ya kutaka kutajirika kwa ghafla na kutegemea bahati. nakuta mtu anakwenda ku-bet ligi ya nchi ambayo hajui undani wake kabisa na anategemea bahati. Forex sijawahi kuona mtu amefanikiwa bali huwa nasikia story tu na wengi ni scammers
 
Watu waliofanikiwa kila sector ni wachache wewe kuna watu unawajua wamefanikiwa ila inabakii kuwaona mtandaoni.. Tu
 
Kama hujawah ona watu waliofanikiwa ktk forex basi sio kosa lako mi nimefanya betting na nimefanya forex ktk betting uchambuzi hausaidii kitu ,ktk trading edge ndo huleta high probability na ni jambo unarudia over and over
 
Me sijawahi kufanya forex. Ila wanangu wanaofanya hiyo kitu sahizi wengine wanaenda mwaka wa tatu na hakuna hata dalili ya wao kutoboa. Imekaaje hii😒

Matumaini mengi, pesa zenyewe hata sizioni
 
Me sijawahi kufanya forex. Ila wanangu wanaofanya hiyo kitu sahizi wengine wanaenda mwaka wa tatu na hakuna hata dalili ya wao kutoboa. Imekaaje hii😒

Matumaini mengi, pesa zenyewe hata sizioni
Kuna vitu wanakosea hii biashara ukikomaa mwenyewe inachukuwa 5ys ila ukipata mentore mzuri anajuwa vyema na anawanfuzni waliotoboa inakupunguzia msoto, so hao wamekaza fuvu trading ina tricks zake, technically na psychology sasa unaweza win technically ila kisaikolojia ukawa down
Hao wafungue akili watafute mentor ,wawekeze nguvu ktk funded
 
Kuna huyo mmoja yeye ni mentor,Na miezi kadhaa nyuma aliniambia kanunua funded account.

Cha kushangaza jana kanikopa hela, na mara nyingi huwa hana hela, Nashindwa kuelewa hii kitu ni real au vipi?
 
Me sijawahi kufanya forex. Ila wanangu wanaofanya hiyo kitu sahizi wengine wanaenda mwaka wa tatu na hakuna hata dalili ya wao kutoboa. Imekaaje hii😒

Matumaini mengi, pesa zenyewe hata sizioni
Wakitoboaa uache unafki kaka bado still wanajitafuta hakuna pesa nyepesi kaka
 
Wakitoboaa uache unafki kaka bado still wanajitafuta hakuna pesa nyepesi kaka
Sisi wote ni watafutaji man, Kama mtu anafanya kitu kwa jitihada zote na akileti matunda, Sio mbaya kuangalia namna nyingine pia.
 
Sisi wote ni watafutaji man, Kama mtu anafanya kitu kwa jitihada zote na akileti matunda, Sio mbaya kuangalia namna nyingine pia.
Kwan ulidhani ni issue ya mafanikio week 1 ? Tatizo mnaleta expectation kubwa akati vitu hivyo vinachukua mdaa
 
Kwan ulidhani ni issue ya mafanikio week 1 ? Tatizo mnaleta expectation kubwa akati vitu hivyo vinachukua mdaa
Mwaka wa tatu huu yupo kwenye game, Nitamsupport atakapo itaji support yangu.

Matamanio yangu ni kujua hii kitu ni real kweli? Kwamba mtu kweli anaweza kutoboa kupitia hii kitu?
 
Mwaka wa tatu huu yupo kwenye game, Nitamsupport atakapo itaji support yangu.

Matamanio yangu ni kujua hii kitu ni real kweli? Kwamba mtu kweli anaweza kutoboa kupitia hii kitu?
Kitu kua real mpak rafik yak atoboee
Fanya research itakua ujui kuhusu biashara mkuu..
 
Kuna huyo mmoja yeye ni mentor,Na miezi kadhaa nyuma aliniambia kanunua funded account.

Cha kushangaza jana kanikopa hela, na mara nyingi huwa hana hela, Nashindwa kuelewa hii kitu ni real au vipi?
Forex ni real mzee watu wako ndo wanashida kubwa sana tumia chatgpt kuuliza wanashida gani, basi io funded kashachoma kwa greed wakat ile ni unatakiwa kusurvive, na anakuwaje mentor ilihali hajafanikiwa si anajipa stress zaid
 
Mwaka wa tatu huu yupo kwenye game, Nitamsupport atakapo itaji support yangu.

Matamanio yangu ni kujua hii kitu ni real kweli? Kwamba mtu kweli anaweza kutoboa kupitia hii kitu?
Kaa nae chini muulize unafanya nini kwa sasa? Iko unachokifanya ndo ndoto yako? Kwanini hujamake it ktk trading ilihali unamaarifa? Unahitaji nini ili ufanikiwe atasema mtaji mwambie si kweli shida ipo kwako binafsi. Mwambie akupe mpango madhubuti wa jinsi atakavyo make ata $ 10k before January , msponsor tena 50k funde najuwa haizid ata $200 sharti moja asiichome adi january ye atajuwa atafanyaje ila ahakikishe ipo active adi january. Akishidnwa tena mwambie afute kila kitu akilini mwake kuhusu forex then aje nimpike upya.
 
---

How to Use Support and Resistance in Forex Trading Effectively

Understanding support and resistance is one of the most important aspects of forex trading. These levels represent price zones where markets tend to reverse or pause. Mastering them gives traders an edge in identifying entry and exit points.

What is Support?
Support is a price level where a currency pair tends to stop falling and may bounce back up. It represents strong buying interest.
Example: If EUR/USD drops to 1.0800 several times and bounces back, then 1.0800 becomes a support level.

What is Resistance?
Resistance is a price level where the currency pair stops rising and often reverses downward. It reflects strong selling pressure.
Example: If GBP/USD rises to 1.2700 and reverses multiple times, that zone becomes resistance.

---

How to Identify Support and Resistance Levels:
  • Historical price levels: Look for price zones that reversed multiple times.
  • Round numbers: Levels like 1.2000, 1.3000 often act as support or resistance.
  • Trendlines: Diagonal support and resistance on trending markets.
  • Indicators: Tools like Fibonacci retracement and pivot points.

--- How to Use Them in Trading:
1. Entry Strategy: Buy at support, sell at resistance — if confirmed with price action.
2. Stop Loss Placement: Always place your stop just below support or above resistance.
3. Breakout Trading: Trade when price breaks through a strong level with volume.
4. Retest Strategy: Enter after a breakout and retest of the previous level.

---

Common Mistakes to Avoid:
  • Relying only on one timeframe.
  • Ignoring market structure or trend.
  • Using weak, untested levels.
  • Not combining with other tools like RSI or MACD.

---

Conclusion:
Support and resistance aren’t just lines on a chart — they’re zones of decision. Use them wisely, and you’ll greatly improve your timing and risk management.

---

📞 Need help mastering support and resistance?
👉 Join our Telegram Group for lessons and mentorship
📲 Visit our blog for more powerful forex tips and strategies:

---
 
At he

At the end of the day, both approaches are betting on future outcome which both are uncertain. No difference with betting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…