Kwanini watu wengi hufikiri forex ni betting, wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa

Kwel kbs hafu trading success lazima ufanye effort na discipline watu wanataka chap...
Wewe ndio umeandika point sasa.kunajitu linaweka USD 100 linataka 150 bila kufanya jambo lolote.
 
Watu wengi wamekuwa wakilalamika hata kuona forex ni kama utapeli au betting sababu kubwa mapokeo ya watu ya mekuwa kinyume chake wakati kiuhalisia ni tofauti kabisa.

Sababu kuu kwa nini watu hufikiri forex ni betting Wengi huingia bila elimu wala mkakati mfano Mtu anaona app au video ya mtu anapata pesa, anafungua akaunti na kuanza kubonyeza BUY/SELL bila kuelewa. Anaenda kwa bahati nasibu.
Matokeo yake? Hasara kubwa — kisha asema forex ni kamari.

Watu wengi Wanatumia “luck” badala ya analysis Badala ya kutumia uchambuzi wa kiufundi (technical) au msingi (fundamental), wanategemea “labda leo itapanda”.Hii ni kama kubashiri mpira bila kujua timu au wachezaji.

Wengi utumia mawazo ya Muda mfupi wa matokeo — kama kamari.

Forex inaruhusu kupata faida au hasara haraka (ndani ya dakika au saa), kama vile betting inavyofanya.

Kwa nje, inaonekana kama kasino — lakini tofauti ni msingi wa maamuzi.

Matangazo ya pesa za haraka kama
Kuona Baadhi ya “mentors” au matangazo mitandaoni huonyesha maisha ya kifahari bila kueleza kazi, ujuzi na nidhamu inavyohitajika.

Hii huwafanya watu kufikiri forex ni njia ya haraka kupata pesa bila juhudi — kama kamari.

Kutokujua tofauti kati ya uwekezaji na kamari. Kamari ni kubashiri bila taarifa, wakati forex sahihi ni kuamua kwa kutumia data, takwimu, na uchambuzi.

Watu wengi hawajui tofauti hiyo kuwa Ukweli ni huu Forex si betting kama Unajifunza vizuri (technical + fundamental analysis), Unatumia risk management (kama SL/TP),Una nidhamu ya trading na Unafuatilia uchumi, siasa, vikwazo, n.k.

Nukuu ya kuzingatia:

“Betting is based on hope. Trading is based on strategy.”
Kufuatilia uchumi, siasa na vikwazo na kujaribu kubashiri vyote hivyo vinafanya nini au nini kitatokea juu yao, ndio kubashiri kwenyewe, na hapo ndio unaona hakuna tofauti na kamari.
 
Kwanini watu wa forex mnakua na visukari sana na kulazimisha watu waamini mnachofanya? Mbona mnatumia nguvu kubwa kwa mambo madogo? Kitu kizuri kinajionesha chenyewe. Hata Petro alijulikana kuwa mwanafunzi wa Yesu kwa namna tu alivyokua akiongea, nakutembea hakusema kuwa, "mimi ni mwanafunzi wa Yesu" hapana matendo yake yalionesha. Kwanini mnahangaika kujichukua video mkiwa kwenye magari ya kifahari, majumba, katika nguo nzuri? Wwe kama unafanikiwa na Forex tutaona tu, kuna siku utamkaribisha mwana geto, atalishangaa geto lako na kukuuliza unafanya mishe gani mpaka unageto zuri hivi, kuna mambo tu hata bila kujionesha au kusema utaulizwa......ila mnavotuandikia uzi na kujiposti na kupandisha sukari mnapopingwa kunatudhihirishia wazi kwamba hamfanyi Forex ila mnatumia mgongo wa Forex kupata pesa (mnatafuta wanafunzi wa kuchukua pesa zao kuwafundisha Forex ilihali ninyi hamfanyi Forex). Forex ni betting au sio betting hilo unalijua mwenyewe, mtu aamini asiamini haikusaidii kitu kama kweli unamake money. Unapata wapi mda wa kuandika uzi kutaka kuaminisha watu kitu unachofanya kinaingiza pesa.

Ujue mTanzania au tusema watu weusi tupo hivi. Kitu ambacho ni kweli kinaingiza millions of money huwa tunakifanya siri hatutaki mtu yoyote akijue ili daima tubaki sisi tu ndo tunaomake that kind of money. Na hata ikitokea mshkaji au mtu kaja ili umsaidie elimu na yeye afanye huwa tunamtindo wa kumpatia details zitakazomkatisha tamaa na za uwongo au hata tusimwambie kila kitu ili ashindwe.

Hakuna mtu mweusi anaemtakia mwenzake mema eti ampe mchongo wa pesa au amfundishe mwenzake kumake money.......kama yupo basi huyo mwenzake ndio pesa yenyewe.

Hata ICT alisema kwenye video zake za ICT mentorship 2022 kwamba angekua na strategy inayofanya kwazi kwa 100% asingethubutu kupoteza muda wake kufundisha au kuwa mentor. Kwa maneno mengine ni kwamba, anafundisha kwasababu hakuna haja ya kuwa selfish kwa kitu ambacho hakina 100% ya kuingiza pesa na ndio maana ana kazi nyingine nje na Forex. Forex anaifanya kama kijazilishi tu cha pesa asiyokua na matumizi nayo.

Hata ukipewa miaka 60 ya kutrade Forex kamwe huwezi kuwa tajiri. Tafuta kitu cha kufanya. Forex ifanye biashara ya kutafutia tu mboga nyumbani. Huwezi make a family kwa kufanya Forex. ICT alishasema, wwe ni zaidi ya ICT?

Na nnajua watu wa Forex watapinga kutaka kuproove kwamba wanamake money au unaweza kuwa millionaire kwa forex......ila kumbuka mamillionaire huwa hawasemi tunaona matokeo yao. Build yourself on the darkness, silently. Noise ni za empty debes.

Back
Top Bottom