Kwanini watu wengi wanaona aibu kununua Condom dukani/pharmacy au kwanini watu wengi huogopa kuingia lodge/guest house kuulizia vyumba?

Kwanini watu wengi wanaona aibu kununua Condom dukani/pharmacy au kwanini watu wengi huogopa kuingia lodge/guest house kuulizia vyumba?

Aah sio kwangu mi nikifika tena nikikuta watu ndo napenda nasema kwa sauti kubwa.."KIONGOZI NIPE DUME/SALAMA" itategemea na mfuko wangu na sinaga noma
 
Sasa condoms za nn? Mzagamuo n nyama kwa nyama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom