Kwanini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.

Mfano.

Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara
Gavana w bank kuu (Tutuba)
Makamu wa rais
Mwijaku
Baba levo
Nk

Hebu chunguza tu utagundua wana vipaji vingi sana sema moshi na bukoba wametuzidi elimu

NB. Wachaga ni matajiri kwa sababu ya wizi tu. Popote alipo mchaga anafikirii kuiba tu. Ndo mana wamevamia makanisa kama wachungaji, mapadre kumbe ni utapeli tu
 
Ila hakunaga Muha tajiri au mwenye maendeleo ya maana,hata mkoa wao ni miongoni mwa miji duuuni ya mwisho kwa umaskini
 
Ulipochanganya na hao mashoga umewaharibia Makamu wa Rais na Gavana wa Benki na Ali Kiba.

Halafu Ali Kiba ni mhehe wa Iringa. Kigoma ni asili ya mama yake tu
 
Hiyo mikalio mikubwa hapo ujiji haijambo?
 
Kigoma kuna wabunifu wengi sana, vijana wengi wana vipaji vya pekee lakini iyo list naipinga
 
Tena usiombee awe Mmanyema!🤸
 
Sema wale jamaa ni wachawi aisee. Mtu wa Kigoma ukimfanyia ubaya katika harakati zake za kutafuta noti hakuachi aisee. Nimeshuhudia jamaa anarudi kwao Mwanza hoi washatafuta ugonjwa washakosa, kumbe alimchongea mtu wa Kigoma akafukuzwa kazi. Alimwambia mimi naondoka lkn unauefuata na wew. Alienda Kigoma wiki moja baadae kilichofuata ni Historia. Huo uchawi ungekua unawasaidi kutafuta hela wangekua mbali sana.

Alaf wabishi sana wale jamaa
 
Illusions
 
Mbona mimi sio mchawi?
Kila mkoa una uchawi kwa baadhi ya watu! Usitujumlishe wote🤸
 
Muha in one and two....Waha mna mikogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…