mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Kwani nyie akili mnazozungumzia hapa ni zipi labda wengine hatujaelewa?Linganisha na hii
Prof ndalichako (tanzania one both form five and six) mbeya hakujawahi kutoka tanzania one
Kafulila ambaye kwa sasa no director wa ppp
Zitto kabwe
Nk