Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Sasa Kiba si waliohojiwa kabisa na dada yake.... Mama Yao ndio anatokea Kigoma ..baba Yao ni WA Iringa Mhehe...Kwa maneno Yao wenyewe Sasa sijui unawakatalia kabila lao.Mmoja kasema Diamond ni mzaramo, mwingine kasema ni muhehe!
Ngoja tusubirie tuone mwingine huenda akasema Diamond ni mchaga wa Kishimundu