Kwanini watu wenye asili ya kigoma wana akili sana/nyingi?

Mmoja kasema Diamond ni mzaramo, mwingine kasema ni muhehe!
Ngoja tusubirie tuone mwingine huenda akasema Diamond ni mchaga wa Kishimundu
Sasa Kiba si waliohojiwa kabisa na dada yake.... Mama Yao ndio anatokea Kigoma ..baba Yao ni WA Iringa Mhehe...Kwa maneno Yao wenyewe Sasa sijui unawakatalia kabila lao.
 
Uchawa na uchawi ndio unaita akili?
 
linganisha listi yako,na hii hapa kidogo tu,alafu useme nani ana run nchi
1.prof mwandosya
2.prof mwakyusa
3.dk mwakyembe
4.dk tulia
5.mboma
6.mwamunyange
,,,waimbaji,,,
1.bahati bukuku
2.bon mwaitege
3.martha mwaipaja
4.mwasongwe
5.dk ipyana
6.boaz danken
7.mhangila
,,,wachungaji..
1.mwakasege
2.mzee wa upako
3.mwamposa
4.mwenisongole
5.mwaisabila
6.Malasusa
7.dk mwakipesile
8.prof mtokambali
 
Ulipochanganya na hao mashoga umewaharibia Makamu wa Rais na Gavana wa Benki na Ali Kiba.

Halafu Ali Kiba ni mhehe wa Iringa. Kigoma ni asili ya mama yake tu
Na diamond asili yake ni morogoro alikotokea babaake mzazi sio wa kigoma
 
Walipigwa sana miaka ya nyuma awamu ya kwanza
Sijui na wale funza walipandikizwa maana sidhani kama ni uchafu au udongo ule
Maana siku hizi hakuna tena
 
Mfano.

Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara
Gavana w bank kuu (Tutuba)
Makamu wa rais
Mwijaku
Baba levo
Nk
Sbabu ni kwamba wanakula samaki aina ya mgebuka ambao wana madini yanayojenga ubongo.
 
Anayeendesha nchi ni Mzanzibari hao wengine wote ni chawa tu๐Ÿ’
 
Kuwa chawa nayo ni ubunifu wapewe sifa zao ..

Mwisho watu wa Kigoma hawaaminiki.
 
Linganisha na hii

Prof ndalichako (tanzania one both form five and six) mbeya hakujawahi kutoka tanzania one

Kafulila ambaye kwa sasa no director wa ppp

Zitto kabwe

Nk
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€mkuu hii list yako imenichekesha aisee hadi kina mwamposa na mzee na upako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ