Kwanini watu wenye ‘ Sifa ‘ hizi Kuu zifuatazo Vijiweni huhisiwa ni Usalama wa Taifa hasa Kibongobongo?

kwasababu akili za waTanzania wanadhani usalama wa Taifa ni watu wanaopatikana vijiweni tu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu hizo ndio sifa za watu wa usalama wa taifa.
Tanzania hata wakiona chizi anaokota makopo wanasema ni usalama.
Kila Mtanzania ni mwana usalama ukiona jambo baya au kiashiria hatari toa taarifa kwenye vyombo husika. Ipende nchi yako Tanzania nayo itazidi kukupwnda..
Pia kuna watu wanalazimisha wafanane na usalama wakidhani ukiwa usalama wewe ndo boooonge la mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
 
Hizo sifa zoote ni tabia yangu kabisa.
Ongeza nyingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya hoja za kichovu Sana ....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakubali kwamba una ' Upopoma ' mwingi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa jiwe ningemtumbua mkuu wa kitengo haiwezekani CIA aka mabeberu wamdukue mkuu wa jiji halafu wamuanike bila hata kugundulika. Ina maana wakwetu wamezidiwa akili na mabeberu? Wanashindwaje kuwakamata wadukuzi wa viongozi wetu mpaka waanikwe huko nje na kuleta aibu kwa taifa na kimataifa.
Usalana wetu inabidi wabadili mbinu wazuie kudukuliwa viongozi wetu.
 
Kama upo salama huwezi hofu juu ya usalama wa taifa maana wanakulinda dhidi ya wapuuzi..mbinu zao huenda zikatumika kama hizo..ila sio kila kitambaacho ni nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…