dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Taifa lipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwasababu akili za waTanzania wanadhani usalama wa Taifa ni watu wanaopatikana vijiweni tu[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu hizo ndio sifa za watu wa usalama wa taifa.
Tanzania hata wakiona chizi anaokota makopo wanasema ni usalama.
Kila Mtanzania ni mwana usalama ukiona jambo baya au kiashiria hatari toa taarifa kwenye vyombo husika. Ipende nchi yako Tanzania nayo itazidi kukupwnda..
HahahahaPia kuna watu wanalazimisha wafanane na usalama wakidhani ukiwa usalama wewe ndo boooonge la mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sifa zoote ni tabia yangu kabisa.Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa hawaagi na utashtukia tu hawapo Kitambo.Watu ambao hupenda kuja Vijiweni mara kwa mara ila huwa hawapendi Kujulikana waishipo.Watu ambao wakiwa Vijiweni hata ukiomba mbadilishane Namba watakataa au kukukwepa.Watu ambao mkiwa mmekaa Kijiweni mnashtukia tu wamekuja na huwa hawaanzi Kusalimia.
Nawasilisha.
Wachokoza Mada hasa za Kiserikali na Matukio Nyeti hasa yaliyobeba Hisia za Watu.Watu ambao huwa hawakosekani Vijiweni 24/7 ila huwa wakimya tu na hawachangii lolote.Watu ambao hupenda mno Kuchambua mambo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi Kiufasaha.Watu ambao wakiondoka hapo Vijiweni huwa hawaagi na utashtukia tu hawapo Kitambo.Watu ambao hupenda kuja Vijiweni mara kwa mara ila huwa hawapendi Kujulikana waishipo.Watu ambao wakiwa Vijiweni hata ukiomba mbadilishane Namba watakataa au kukukwepa.Watu ambao mkiwa mmekaa Kijiweni mnashtukia tu wamekuja na huwa hawaanzi Kusalimia.
Nawasilisha.
NakubaliNi ujinga na fikra potofu kudhani kwamba kua usalama wa taifa ni sifa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubali kwamba una ' Upopoma ' mwingi au?
Siyo Kweli Mkuu siyo Mmoja Wao na nakuomba niamini na amini hivyo tafadhali.
Hili suala la ukichaa na ushushushu linamata kuna kichaa mmoja alitokeaga tu gafra maeneo ya kibirizi kigoma(kwenye makazi ya wavuvi) watu wakamchukulia simple end of the day Aliacha kilio na simanzi kwa wavuvi wasio waaminifuTanzania hata wakiona chizi anaokota makopo wanasema ni usalama.