Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Aibu yake ni nini mzee? Kwani zinauzwaje?Itel sio simu kabisa ni aibu
Haya maisha ishi uwezavyo wewe, usiishi kuwatakavyo walimwengu wewe uishiShida ni kwamba kuna watu wanaona kuwa kila mtu anapata anachokitaka... yan ukitaka kitu tu paaap unacho wakati wengine huku... tunaishi kwa kile ambacho nimepata kama kinassuport tekno... twende tuu kwa kuwa ndo uwezo wangu
Kwanini jombaaaInfinix, Tecno na itel sio simu ni vikundi vya wahuni tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Mimi natumia infinix mwaka wa nne sasa, hot 8 yangu inadunda bila shida yoyoteUnatumia itel ww Ni msukuma
Wamakonde inayakiwa watumie simu gani?Unatumia itel ww Ni msukuma
Hiyo ndio maana na kazi ya simuMmmmhhh... Simu ni simu tu kikubwa nikipiga simu huko kwetu Nanjilinji nimpate Bimkubwa wangu.
Wamakonde inayakiwa watumie simu gani?
Humu JF siku hizi watu wanajiona washuuuuuuua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann lkn
Ukweli utabaki pale paleKwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena.
Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana wanachekwa kwa wajukuu zao sababu tu ya aina ya majina ya simu wanazotumia.
Mimi sijui tofauti kati ya iPhone, Samsung, Tecno, LG, Sony, HTC, Infinix, Google Pixel , itel nk naona zote ni smart.
Nikiwa na itel au tecno au infinix vicheko vyenu nitavidharau na kuvipuuza