Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Punguzeni dhihakaUkweli utabaki pale pale
Africa ni jalala la mchina...
Ma-pikipiki
Ma-simu
Ma- nguo
Nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguzeni dhihakaUkweli utabaki pale pale
Africa ni jalala la mchina...
Ma-pikipiki
Ma-simu
Ma- nguo
Nk
Sio dhihaka ni ukweli mchunguPunguzeni dhihaka
Hiyo aibu imeandikwa kwenye simu au umeibeba kwenye kichwa chako?Kabla haujajibu,tulia na usome upya swali.Itel sio simu kabisa ni aibu
Wazoeee tu humu kila mtu ana gari kali ana demu mkali ana mume mzur kasoro mimi tu ndyo kapukuHumu JF siku hizi watu wanajiona washuuuuuuua
Tuletee ulizozibuni tununue sisi wenye "infwinikse"!Infinix, Tecno na itel sio simu ni vikundi vya wahuni tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji850][emoji2959]Infinix, Tecno na itel sio simu ni vikundi vya wahuni tu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Maurya ni maurya tu muraHiyo aibu imeandikwa kwenye simu au umeibeba kwenye kichwa chako?Kabla haujajibu,tulia na usome upya swali.
Usiuendekeze umasikini wako, jiongezeNunua simu kutokana na kipato chako usiishi maisha ya watanionaje au nitachelewa, na hii ndio sababu imesabisha watu wengi kutoamua jambo sababu wana hofia watu watanionaje.
Huku tunatikisa vichwa kama vinadondoka.Ni mini-subwoofer!😂😂😂😂GENTAMYCINE, Moisemusajiografii na wakurya wenzake kina Mwita Maranya wakiwa kwao kibeberu wanashindana ukubwa wa sauti za simu zao, wanaweka litungi, wanacheza kichizi na dabo Kiki zao
Siyo kuendekeza umasikini.Ndiyo kipato alichofikia mtu baada ya kuchuuza matoke na mikusu.Usiuendekeze umasikini wako, jiongeze
Mabhasiriano ni mabhasiriano wa kwetu!Unaruka ruguta huru,unarukia ruguta ringine kama una uweso muraa wetu!Maurya ni maurya tu mura
Nadhan sio viswaswadu ni yale makubwa jinga yaoView attachment 2477667
Mnatutenga vibaya mno🥹🥹🥹fresh
Hata hilo likubwa ninalo mkuu..linapiga kelele mfano hakuna..mfanye basi mtuondoe kwenye hii aibu🤣🤣🤣Nadhan sio viswaswadu ni yale makubwa jinga yao
Huo ukubwa jinga ndiyo upoje?Hebu fafanua.Nadhan sio viswaswadu ni yale makubwa jinga yao
UmenenaHata hilo likubwa ninalo mkuu..linapiga kelele mfano hakuna..mfanye basi mtuondoe kwenye hii aibu🤣🤣🤣
Wanafunzi wa form 2 wata kuja kukusemaMimi ni fundi simu upande wa hardware na ni mzoefu kwa miaka 10 na 90% ya simu ninazotengeza ni tecno, infinix na itel. ni kweli kila simu inaharibika na kila siku napokea simu zenye matatizo mengi na matatizo mengi ni yale tuliyo yazoea.
Lakini kuna mengine ni mapya kulingana na teknolojia inavyo kuwa.
Lakini kuna matatizo ambayo nimeyagundua kwenye hizo simu tatu kwa hii wiki nimepokea
Simu karibia 15 ambazo zimezima Peke yake na kwa maelezo ya wateja wanasema walikuwa wameziweka tu ndani.
Na kwa sababu mbali mbali Na mwisho wa siku wakakuta zimezima peke yake Na hizo simu mara nyingi huwa nikizipima na nakuta zina umeme mdogo ambao hauwezi kuwasha simu. hata ukibusti betri haziwaki kabisa hata ukiweka betri mpya zenye moto wa kutosha haziwaki na hata tukichomeka kwenye kwenye computer ili kuziflashi zinakuwa hazionekani kabisa. Na hivyo ndivyo zinakuwa imekufa moja kwa moja.
Lakini baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu nimegundua hizo simu nyingi zinazozima kwa namna hiyo ni zile simu zilizo Isha warranty na nimeyagundua hizo simu ni zile toka zimetengenezwa baada ya mwaka mmoja na ikikaa siku 30 ikiwa imezima chaji hiyo simu ujue itakufa moja kwa moja.
Na nimegundua hiyo inatoka na mikataba mibovu waliyo Ingia hayo makampuni yanayo wauzia software kwamba wao wanao wauzia software wanawapa security ya mwaka mmoja tu.
Kwahiyo ushauri wangu kwa watumiaji wa infinix tecno na itel usiiache simu yako iishe chaji kabisa na ikae siku 30 bila kuichaji.
Wakati tunaendelea kutafuta solution.
BlackBerry and Samsung.Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul